Utumwa wa Waarabu

Utumwa wa Waarabu

Ukimaanisha waarabu hawakufanya biashara ya utumwa? Ama?
Walifanya Ila si kwa kiasi ambacho propaganda za ulimwengu zinatuaminisha! Kwa nini katika biashara ya utumwa huwa anaonekana hasa mtuhumiwa mmoja yaani mwarabu na sio mataifa mengine? Huoni kuwa syllabus zet huwa zinatuingiza chaka
 
Watu weupe (waarabu na wazungu) wametushika pabaya sana wabantu… kuchomoka hapa majaaliwa ya Mwenyezi Mungu
 
Walifanya Ila si kwa kiasi ambacho propaganda za ulimwengu zinatuaminisha! Kwa nini katika biashara ya utumwa huwa anaonekana hasa mtuhumiwa mmoja yaani mwarabu na sio mataifa mengine? Huoni kuwa syllabus zet huwa zinatuingiza chaka
Wroooong!Hakuna mtu aliyeng'ang'ania kuwa ni Waarabu tu ndiyo walifanya biashara ya watumwa,uelewe.Swali ni kwa nini watu wa asili ya Afrika/watumwa hii leo wapo kwa idadi ndogo Uarabuni/Asia?
Hebu chukulia wale assimilados wa nchi kama Ufaransa waliotoka Afrika,kwa nini kizazi chao leo hii kimejaa tele huko?Achilia mbali USA.
 
Wroooong!Hakuna mtu aliyeng'ang'ania kuwa ni Waarabu tu ndiyo walifanya biashara ya watumwa,uelewe.Swali ni kwa nini watu wa asili ya Afrika/watumwa hii leo wapo kwa idadi ndogo Uarabuni/Asia?
No nani anakuwa acused Sana kwenye hii biashara ya utumwa mashuleni na kwenye media nyingi kama sio mwarabu? Tuanzie hapo kwanza
 
Ilitakiwa mda huu tuwatandike bakora (waarabu kwa wazungu )watulipe na fidia kwa madhila waliyotufanyia wabantu lakini kutwa nyuzi za kuwatetea
 
Tofauti na Al Jazeera ni kituo kipi kingine huwa unaangali.
 
Mmh mbona black American hawapo uarabuni wapo ulaya na America na huko uzunguni kungine
Ndiyo ujiulize sasa,arabun walikuwa wakishafikishwa wanahasiwa {wanagongwa kende ili pump zisiinuke wakiogopa kuwa watazaa na wanawake zao vizazi vyao viharibike} that's why hata leo ukionekana wewe mwenye rangi ya nyani unataka kuanzisha uhusiano na mtoto wa kiarabu basi lazima viungo vyako wavigawanye.
 
No nani anakuwa acused Sana kwenye hii biashara ya utumwa mashuleni na kwenye media nyingi kama sio mwarabu? Tuanzie hapo kwanza
Mkuu wewe ni kitukuu cha waarabu/wazungu ama wabantu? Ili nielewe jinsi ya kukijibu bila kukukera…
 
No nani anakuwa acused Sana kwenye hii biashara ya utumwa mashuleni na kwenye media nyingi kama sio mwarabu? Tuanzie hapo kwanza
Sikiwahi kukutana na hilo.Kwa kadiri nilivyopata darasani halafu baadaye nikaongeza na za kwangu ndipo nina muono kama ninaokupa.Halafu,kwa nini uukazanie uongo wa watu na usitafute ukweli?
 
Ilitakiwa mda huu tuwatandike bakora (waarabu kwa wazungu )watulipe na fidia kwa madhila waliyotufanyia wabantu lakini kutwa nyuzi za kuwatetea
Kwa mfano mimi ,hapo sijautetea upande wowote kuwa haukufanya biashara dhalili ya watumwa.Kwa kiasi gani na upande upi ulitwaa watumwa wengi kutoka Afrika:Ilitegemea na uwezo wa fedha,uhitaji kiasi gani,vyombo vya kuwabebea,uimara na uwezo kiujazo.
 
Watu wengi hupenda kuwa attack waarabu katika biashara ya utumwa, lakini mara nyingi hiyo ni indirect attacks dhidi ya Waislam kwa kigezo kuwa waarabu ndio walileta uislam na ndio walifanya biashara ya watumwa hivyo basi Uislam unasapoti utumwa.
NI KWELI WAARABU WALIWAFANYA WENGINE WATUMWA, MFANO BILAL, HUYU Alikuwa ni mtumwa toka Habesh.
La kujiuliza je huo UISLAM WALIOLETA UNAONGELEA VIPI KUHUSU WATUMWA.
 
Kilicho kweli kwako kunaweza kuwa uongo kwangu! And vice versa is true! Wamisionari na waarabu wote wali participate kwenye hii issue tena ulaya ndio ilikuwa zaidi ndio maana evidence Hadi leo zipo ulaya kwa wingi kuliko Asia na maeneo ya uarabuni hii hata Walter Rodney amewah doubt miaka ya nyuma! Kwa nn unashindwa kuelewa kuwa Syllabus zetu zina shida

Back
Top Bottom