dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,352
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hao ni wamissionari wa kikatoliki. Nimeelewa kabisa uzi wako na lengo lake kwamba unaona waarabu wanaonewa hawakutesa watu. Ni hivi maalim, wamisionari wa kikatoliki walikuwa wanawanunua kutoka kwa mabwanyenye masultani wa kiarabu na baadaye kuwarudishia uraia wao na kuwa huru. Wengi walikuwa wanatunzwa bagamoyo na walipewa mafundisho na wengi ndio walikuwa makatekista yaani waalimu wa kizalindo ya dini ya Kikatoliki. Nenda pale bagamoyo hizo picha na maelezo utayakuta mengi.