Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Nakubali hilo.Kila taasisi ya kijamii ni chombo cha kufanikisha ufalme wa Mungu. Kuna ndoa, familia, wdc, baraza la madiwani, bunge, baraza la mawaziri, yume ya uchaguzi, etc. Kila taasisi inayo majukumu yake.
Hapa tunaongelea natasi ya tume ya uchaguzi ktk kujenga ufalme wa Mungu.
Jielekeze kwenye hoja iliyo
Hatahivyo, kati ya taasisi zote ndoa/familia ndiyo taasisi ya kwanza na chanzo cha taasisi zote.
Ikiwa taasisi ya ndoa/familia imeharibika inawezekanaje taasisi zinazotokana nayo kuwa salama ?
Msingi wa hoja yangu ni kwamba taasisi nyingine zote zinatokana na taasisi ya ndoa/familia.
Hoja kama ilivyo hapo juu siyo kosa kuijadili. Lakini je, kile kinachoitwa kasoro za tume chanzo chake ni nini? Swali likijibiwa ufalme wa Mungu utafika.
Ukizungumza nafasi ya tume ya uchaguzi katika kujenga ufalme wa Mungu bila kujua kwamba hao wanaounda tume wanatoka kwenye familia ni sawa na mwili wa mtu ambaye ubongo wake umeharibika, viungo vya mwili vitawezaje kufanya kazi kwa ufanisi ?