Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,506
- 113,623
Eeenh, sipendi kumkatisha tamaa yeyote anayetafuta ufumbuzi wa tatizo.Kalamu1,
Andiko hilo limeboreshwa ili kukuonyesha ratiba husika. Soma hiyoooo...
You still have, that's why we are arguing till nowI have no interest, nor do I need to know those 'epistemologicals' at this point. Life is already too complicated to add any further layers of unnecessary issues.
Wewe ndiyo hujui mama WA hiyo secular idealism ileletwa na nani?Mtoa mada aje na secular, non-religous or non-faith based arguments. Hawezi kudai kuwa hoja zake zimawahusu Watanzania wote ilhali hoja na mantiki zilizotumika zimejikita kwenye dhana za imani ya dhehebu fulani la Kikristo.
I don't think soDon't you see you are desperately yearning for recognition?
Who are "we"?
You not "thinking so" doesn't change any iota of what I think!I don't think so
Be objective rather than being subjective minded
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema tunaweza tumia hatua mbili hadi tatuHello Ramark, namalizia utafitj wangu. Nimependa wazo lako kuhusu blind interview. Naomba ufafanuzi wake kuhusu namna ya kupata wale candidates 30 wa kwanza.
Wakati unapojibu,Andiko hili limeboreshwa kwa kuongeza ratiba, bajeti na mgawanyo wa majukumu!
Nivoj unaweza nisaidia jibu LA swali hilo hapo juu ili tuendelee.Wakati unapojibu,
Fikiri kuanzisha Uzi mpya na uweke hicho kiambata kama title
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wa kubumba, maneno mengi kupotezeana muda tu, mambo yanayojadiliwa hayana uwiano, kichwa cha habari na yaliyomo haviendani na kubwa zaidi ni kwamba aliyeuweka uzi ana mkorogo wa mawazo kichwani.
Utafiti wa 'ndio' na 'hapana' lakini maelezo kibao, hatuambiwi sample ilikuwa ya watu wangapi? Walihojiwa lini? Upande mmoja unatoa maswali na majibu upande mwingine unaweka nukuu za viongozi na mwisho unaweka asilimia kabisa. Wewe Mama unawaabisha Wamama wenzako.
Eeenh, sipendi kumkatisha tamaa yeyote anayetafuta ufumbuzi wa tatizo.
Napenda sana juhudi hii, laiti kama ingeanza mapema kidogo, huenda pangeweza kuwepo na matumaini, au hata kutafuta njia mbadala.
Hii kazi unayojaribu kufanya ni kazi mhimu sana. Hata sijui mpo kundi kubwa kiasi gan kuweza kulipa msukumo na kubaki kwenye 'timeframe' hiyo mliyopangai!
'Assumption' ni kwamba kutakuwepo na ushirikiano toka pande zote zinazohusika. Sasa sijui mnao uhakika upi juu ya hilo.
Mkuu 'nivoj sued', endelea na juhudi zako. Ni bora kutimiza ulilolenga hata kama halikuzaa matunda uliyotegemea.
Ukifanikiwa ni faida kwetu sote.
Hapana, usidhani nitakaa kwenye 'fence' nikisubiri mfanikiwe au mshindwe ndipo nishangilie. Nitachangia popote katika juhudi zenu kwa uwezo nitakaoweza kwa sababu hili ni jambo mhimu kwetu sote.
Hongera na ahsante!Hello,
Tayari nimefanyia kazi ushauri wako kama ifuatavyo:
1. Nimefomati rasimu ya muswada kwa kutumia mfano wa Mabadiliko ya 13 ya mwaka 2000
2. Rasimu ya Muswada wa Mabadiliko ya 14 nimeitundika HAPA.
Pitia halafu unipe feedback...