Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,337
- 113,181
RENATUS GODIAN,
Mkuu Renatus, kiukweli una mawazo tegemezi sana kwa mabeberu. Jee watu wote wangekuwa na mawazo kama yako, hao wabunge wote wa Chadema kwenye majimbo na madiwani kwenye kata, wangechaguliwa na nani?.
Uchaguzi ni mambo yetu ya ndani, what has UN, Nato na Mabeberu got to do with it?. Uchaguzi wa Zanzibar 2015 kilitokea nini na walifanya nini? Uchaguzi wa marudio CUF walisusia, wamepata nini?
Uchaguzi wa serikali za mitaa, wapinzani wamesusia, CCM imeshinda kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%, waliosusa wamepata nini?
Hao mabeberu wamefanya nini? Uchaguzi Mkuu wa October ni wembe ule ule uliotumika kunyolea serikali za mitaa, ndio utatumika kunyolea uchaguzi Mkuu.
P