Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

Unajua historia ya mabadiliko ya katiba?

1995 mabadiliko ya uchaguzi WA madiwani ulifanywa wakati?

Nami niliamini hatuna muda ila nimefuatilia nimegundua even 30 days are enough to execute the project

Sent using Jamii Forums mobile app
When there is good will on both sides, 30 days are almost more than enough!
.
At the present time, you have one side almost swearing to the effect that everything is perfect
 
Nundu_Tanzania,
Kila taasisi ya kijamii ni chombo cha kufanikisha ufalme wa Mungu. Kuna ndoa, familia, wdc, baraza la madiwani, bunge, baraza la mawaziri, yume ya uchaguzi, etc. Kila taasisi inayo majukumu yake.

Hapa tunaongelea natasi ya tume ya uchaguzi ktk kujenga ufalme wa Mungu.

Jielekeze kwenye hoja iliyo mezani. Mjadalabuendelee.
 
When there is good will on both sides, 30 days are almost more than enough!
.
At the present time, you have one side almost swearing to the effect that everything is perfect

Mr. Kalamu1, hilo ni pengo tumeliona linafanyiwa kazi. Tushirikiane kuliziba.
.
 
On the contrary.
It harms a lot for CHADEMA diluting its meagre energy on an issue that has little success, especially with the little time remaining.

Little success possibilities? How much little? And you insinuate that a free emb is a chadema agenda but not a national agenda! On this agenda, you haven't pronounced yourself well yet
 
I am a realist.

Hilo sio pengo tu, bali ni kibogoyo hasa!

Mbona unakiuka kanuni za epistemological realism? Unashindwa kutofautisha personal perception na objective reality!

Many of your statements are sweeping claims with neither grounds nor warrants.

Hiyo ni realism ya wapi?

Linguistic acrobatics achana nazo. Ujenge hoja zenye:

- claim
- ground
- warrant
- backing
- objections
- rebuttals
- qualifiers.

That way, utakuwa unalitendea haki jukwaa hili. It is a home of great thinkers...
 
Little success possibilities? How much little? And you insinuate that a free emb is a chadema agenda but not a national agenda! On this agenda, you haven't pronounced yourself well yet
Let me be clear on this.
Almost two years ago I was among those singing this chorus about "Tume ya Katiba."

It's as if no one was listening until now when it is almost impossible short of causing havoc!

And by the way, how do you involve masses at this late hour?

Very much aware of the fact that it is not a CHADEMA issue, but leadership has to be there to coordinate efforts.

I see no alternative to CHADEMA to do the work.

Civil society organizations, it's as if they are paralyzed, who else is there?
 
The alternative is there. What I am doing here is not pegged on chadema initiative. Just one example!
Good for you and wish you the best.

We all shall benefit from your efforts when you succeed!

Be sure; we are not opposing anything that is for the benefit of our motherland Tanzania.
 
Big NO. First, JPM does not compare with Nyerere by many standards. Secondly, public morality and private morality are not mutually exclusive. And three, where sin has been defined as a crime by the legislature, a believer bears a double blame: first at a private level; and secondly, at a public level. Thus, your defense fails. You are justz dropping words unreflectively.
Tanzania siyo nchi ya Kikristo hoja zako zimelenga kwa Waumini wa dhehebu fulani la Kikristo. Nashangaa unakuwa mkali, unaandika kwa kujiamini na kujitetea kama vile hii ni nchi ya Kikatoliki. Je, una uhakika gani kama Watanzania wenye imani tofauti na Ukatoliki au Ukristo watakubaliana na hoja zako?
 
Mtoa mada aje na secular, non-religous or non-faith based arguments. Hawezi kudai kuwa hoja zake zimawahusu Watanzania wote ilhali hoja na mantiki zilizotumika zimejikita kwenye dhana za imani ya dhehebu fulani la Kikristo.
 
Tanzania siyo nchi ya Kikristo hoja zako zimelenga kwa Waumini wa dhehebu fulani la Kikristo. Nashangaa unakuwa mkali, unaandika kwa kujiamini na kujitetea kama vile hii ni nchi ya Kikatoliki. Jee, una uhakika gani kama Watanzania wenye imani tofauti na Ukatoliki au Ukristo watakubaliana na hoja zako?

Hoja zangu zinayo warrant na backing kutoka kwenye mfumo wa maadili asilia.

Unaweza kufuta vifungu vyote vya Biblia na zikabaki salama.
 
Mtoa mada aje na secular, non-religous or non-faith based arguments. Hawezi kudai kuwa hoja zake zimawahusu Watanzania wote ilhali hoja na mantiki zilizotumika zimejikita kwenye dhana za imani ya dhehebu fulani la Kikristo.

Hoja zangu zinayo warrant na backing kutoka kwenye mfumo wa maadili asilia.

Unaweza kufuta vifungu vyote vya Biblia na zikabaki salama.
 
You're exposing yourself for what you are!

Unasema huoni alternative, then unahitimisha kwamba kwa hiyo haipo.

Je, kwa vile hujawahi kuona sayari ya jupita haipo?

All realists will laugh at your self styled realism!

Twende kwenye hoja iliyo mezani
 
Mtoa mada aje na secular, non-religous or non-faith based arguments. Hawezi kudai kuwa hoja zake zimawahusu Watanzania wote ilhali hoja na mantiki zilizotumika zimejikita kwenye dhana za imani ya dhehebu fulani la Kikristo.

Secular argument ya kutetea uhuru wa tume ni hii hapa:

- as political animals we have an inclination toward the good of self determination

- we are duty bound to do good and avoid evil as we pursue our flourishing per human nature.

-we can do good and avoid evil by promoting, protecting and abstaining from damaging the goods of human nature which include life, health, truth, psychosomatic integrity, self determination, etc

- a freer and impartial emb promotes the good of self determination

- Thus, we have a duty to build freer and impartial emb's

Note:

- hakuna sehemu nimemtaja au kukana nafasi ya Yahweh, Allah, Krishna au Luhanga ktk maisha ya watu.

MJADALA UENDELEE
 
Kalamu1,
Majibu yangu kwa Ramark yanakujibu pia. Jana ulinukuu jibu kwa swali la mwisho. Rudi pale ufanye reference
 
Back
Top Bottom