Ex Spy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2007
- 213
- 1,726
Wanachama wa CCM wenye wadhifa/utumishi katika taasisi za umma/serikali na katika CC<
1. Wenye Nafasi za Uongozi katika CCM na Serikalini/Taasisi za Umma
2. Watumishi (bila uongozi)
Wanaposhughulikiwa kina Prof. Safari, Dr. Mkumbo n.k, hawa wanaachwa kwa vigezo vipi?
1. Wenye Nafasi za Uongozi katika CCM na Serikalini/Taasisi za Umma
JINA | NAFASI YA KISIASA | NAFASI KTK TAASISI YA SERIKALI/UMMA |
Ndugu Elishila Daniel Kaaya | Mjumbe wa NEC Arumeru | Mkurugenzi Mtendaji, Arusha International Conference Centre (AICC) |
Ndugu Manyangu | Mjumbe wa NEC Bukombe | Mkuu wa Shule, Shule ya Sekondari Bukombe |
Ndugu Phares Magesa | Mjumbe wa NEC Temeke | Mkurugenzi katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) |
2. Watumishi (bila uongozi)
JINA | NAFASI YA KISIASA | Nafasi Katika Taasisi ya Serikali/Umma |
Mwalimu Regina Ndege | Mwenyekiti wa UVCC Babati (Manyara) | Mwalimu wa Shule ya Msingi |
Yusufu Mwenda | Meya wa Kinondoni na Diwani | Afisa TRA DSM |
Prof. Robert Mabele & Prof. Michael Ndashau | Hawa wamepata kuwa wenyeviti wa CCM Chuo Kikuu kwa nyakati tofauti tofauti | Wahadhiri katika Chuo Kikuu cha DSM |
Rehema Nchimbi | Huyu amewahi kuwa mjumbe wa NEC kwa muda mrefu akiwa mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam | Alipata kuwa mhadhiri huku akiwa mjumbe wa NEC |
Wanaposhughulikiwa kina Prof. Safari, Dr. Mkumbo n.k, hawa wanaachwa kwa vigezo vipi?