Utumishi wa Umma na Siasa: Wenye Nafasi za Uongozi katika CCM na Serikalini/Taasisi za Umma


Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined
Jan 15, 2007
Messages
143
Likes
109
Points
60
Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined Jan 15, 2007
143 109 60
Wanachama wa CCM wenye wadhifa/utumishi katika taasisi za umma/serikali na katika CC<

1. Wenye Nafasi za Uongozi katika CCM na Serikalini/Taasisi za Umma

[TABLE="class: grid, width: 700"]
[TR]
[TD]JINA[/TD]
[TD]NAFASI YA KISIASA[/TD]
[TD]NAFASI KTK TAASISI YA SERIKALI/UMMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Elishila Daniel Kaaya[/TD]
[TD]Mjumbe wa NEC Arumeru[/TD]
[TD]Mkurugenzi Mtendaji, Arusha International Conference Centre (AICC)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Manyangu[/TD]
[TD]Mjumbe wa NEC Bukombe[/TD]
[TD]Mkuu wa Shule, Shule ya Sekondari Bukombe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Phares Magesa[/TD]
[TD]Mjumbe wa NEC Temeke[/TD]
[TD]Mkurugenzi katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]2. Watumishi (bila uongozi)

[TABLE="class: grid, width: 700"]
[TR]
[TD]JINA[/TD]
[TD]NAFASI YA KISIASA[/TD]
[TD]Nafasi Katika Taasisi ya Serikali/Umma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwalimu Regina Ndege[/TD]
[TD]Mwenyekiti wa UVCC Babati (Manyara)[/TD]
[TD]Mwalimu wa Shule ya Msingi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Yusufu Mwenda[/TD]
[TD]Meya wa Kinondoni na Diwani[/TD]
[TD]Afisa TRA DSM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prof. Robert Mabele & Prof. Michael Ndashau[/TD]
[TD]Hawa wamepata kuwa wenyeviti wa CCM Chuo Kikuu kwa nyakati tofauti tofauti[/TD]
[TD]Wahadhiri katika Chuo Kikuu cha DSM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rehema Nchimbi[/TD]
[TD]Huyu amewahi kuwa mjumbe wa NEC kwa muda mrefu akiwa mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam[/TD]
[TD]Alipata kuwa mhadhiri huku akiwa mjumbe wa NEC
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Wanaposhughulikiwa kina Prof. Safari, Dr. Mkumbo n.k, hawa wanaachwa kwa vigezo vipi?
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
13,927
Likes
8,879
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
13,927 8,879 280
Ipo siku hawa hawa CCM wanaoshangilia hizi double standard watakuja kulia zitakapokuja kutumika dhidi yao.Kumbuka ya Kaunda na Chiluba.

Tujenge nchi maana misingi yake ndio salama yangu na yako na vizazi vyetu.
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,900
Likes
10,116
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,900 10,116 280
Dr K Nkumbo kaonewa mara mbili
 
Lukub

Lukub

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
953
Likes
755
Points
180
Lukub

Lukub

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
953 755 180
Kosa kwa nini wawe chadema ? Wanatakiwa kuwa chama tawala ala! Na hii ndio Tanzania
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,088
Likes
376
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,088 376 180
Mkumbo kapiga makelele sana, mwishowe wamemwona.

Nani atakumbuka mwl wa shule ya msingi huko Manyara sijui ni mwenyekiti wa UVCCM? Ukila na kipofu usimshike mkono.

Ila na hawa washughulikiwe tu, sheria ni msumeno.

Ila Mkumbo ajifunze naye kuwa mbayuwayu.

Afu mie nawalaumu sana washabiki wake wa jf, walimkuza, akakua, akajisahau na akashinda kutofautisha dunia jf na dunia ya uhalisia. Labda kwa sasa anadhani hata akipita huku kwetu mitaani tunamtazama kwa jinsi alivyo 'femasi', kiukweli ni mdogo sana kwa wananchi wa kawaida (Wasio wanazi wa CDM) nje ya jf.

Ila alikuwa na potential ya kukua kisiasa, sasa sijui kaifanyaje tena. Na akifukuzwa akahamia chama kingine tutajua na yeye ni mganga njaa mwenzetu tu (kuhama chama kwangu huwa ni big no-dalili ya kukosa mwelekeo). Tombe tu wasimvue uanachama, walau 2015 agombee akiwa na CDM.
 
B

BIG RESULTS NOW

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
673
Likes
1
Points
0
B

BIG RESULTS NOW

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
673 1 0
Hapa Mkumbo kaonewa waziwazi.
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,216
Likes
297
Points
180
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,216 297 180
Tatizo la Dr Mkumbo ni kuwa kigeugeu
angetulia wanasheria wangemsaidia na angebaki katika nafasi yake
sasa hii ya kukana hajawahi kuwa mjumbe tangu mwaka 2010 mara nlishaacha ndio inapotosha zaidi
wapo wahadhiri wengine wana vyeo CCM na bado wako CCM.
 
F

Fenento

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
320
Likes
1
Points
35
F

Fenento

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
320 1 35
Hata mimi naona Dr.Mkumbo ameonewa kwa hili. Kwa vile kuna watumishi wengi ni wajumbe kwenye nafasi mbalimbali kwenye chama cha CCM
 
M

Mwasisi

Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
17
Likes
2
Points
5
M

Mwasisi

Member
Joined Jun 4, 2013
17 2 5
Peter msanjila,mwenyekiti wa uvccm mkoa wa kigoma,na mwalimu wa shule ya sekondari ya kata gungu
 
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
908
Likes
42
Points
45
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
908 42 45
Dr K Nkumbo kaonewa mara mbili
Kweli mwe------,ye mwenyewe alipoita waandishi pale hotelini akiwa na MM,alikili kuwa ni muhusika na chadema (m-NEC),na kwenye kikao kilichowavua madaraka alikuwepo,baadae huko chuoni kasema alishajitoa tokea 2010,dah!we unaelewaje hapo!?
N.B:
Usione aibu kusema kuwa huyu Dr.&MM ni Mashenzi.
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
18,312
Likes
6,055
Points
280
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
18,312 6,055 280
Naomba kujuzwa, hivi uwaziri si utumishi wa uma..??? Maana walio kwenye NEC ya CCM na huku wakiwa ni mawaziri tunawajuwa...... Rais si mtumishi wa umma..??? Tena JK ni mwenyekiti wa CCM taifa... Naomba kufahamishwa
 
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
9,696
Likes
1,196
Points
280
Age
28
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
9,696 1,196 280
Hata mimi naona Dr.Mkumbo ameonewa kwa hili. Kwa vile kuna watumishi wengi ni wajumbe kwenye nafasi mbalimbali kwenye chama cha CCM
Mkumbo hajaonewa yaliyomkuta ni kwa sababu kashindwa kutekeleza na kumaliza kazi ambayo alikuwa kapewa ili kuhakikisha CHADEMA inakufa na inawezekana yeye akawa chanzo cha kushindwa kwa mkakati huo hivyo anachofanyiwa sasa ni kupewa adhabu
 
Swiper

Swiper

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
449
Likes
8
Points
35
Swiper

Swiper

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
449 8 35
kila mwana jf anaye jua kiongozi wa serikali mwenye wadhaifa serikalini aweke jina lake hapa. Hapa ndo tuta anzia kufuatilia kiundani kwanini double standard.
SP
 
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
908
Likes
42
Points
45
Fisadidagaa

Fisadidagaa

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
908 42 45
Hata mimi naona Dr.Mkumbo ameonewa kwa hili. Kwa vile kuna watumishi wengi ni wajumbe kwenye nafasi mbalimbali kwenye chama cha CCM
Uongozi wa chuo walikuwa wanajua kuwa ni mwanasiasa,na aliachwa makusudi kwa kazi maalumu,kushirikiana na akina MM,M1,M2 na M3 kuiangamiza CHADEMA,sasa anaelekea kufukuzwa na uanachama na hivyo dili limebuma,sasa kondom imeshatumika ya nini tena!?tupa kule,tena kwenye shimo la choo ili watoto wasichezee,hao ndiyo maCcm.
 
MZEE WA ROCK

MZEE WA ROCK

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
623
Likes
2
Points
35
Age
66
MZEE WA ROCK

MZEE WA ROCK

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2011
623 2 35
MKUU WA CHUO CHA USAFIRISHAJI DR MGANIRWA ni mjumbea wa nec shinyanga
 
Ntale Wi Isumbi

Ntale Wi Isumbi

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
479
Likes
0
Points
33
Ntale Wi Isumbi

Ntale Wi Isumbi

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2012
479 0 33
Wako wengi sana wa namna hii. Wakijatwa wote, inabidi ku dedidate magazeti yote ya kila siku ya week nzima kuchapisha hiyo orodha. Kama nilivyo wahi kusema katika thread moja, na sasa narudia kunukuu kauli moja kwenye kitabu kiitwacho the Animal Farm: all animals are equal, but some are equal than others!!!

Wanachama wa CCM wenye wadhifa/utumishi katika taasisi za umma/serikali na katika CC<

1. Wenye Nafasi za Uongozi katika CCM na Serikalini/Taasisi za Umma

[TABLE="class: grid, width: 700"]
[TR]
[TD]JINA
[/TD]
[TD]NAFASI YA KISIASA
[/TD]
[TD]NAFASI KTK TAASISI YA SERIKALI/UMMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Elishila Daniel Kaaya
[/TD]
[TD]Mjumbe wa NEC Arumeru
[/TD]
[TD]Mkurugenzi Mtendaji, Arusha International Conference Centre (AICC)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Manyangu
[/TD]
[TD]Mjumbe wa NEC Bukombe
[/TD]
[TD]Mkuu wa Shule, Shule ya Sekondari Bukombe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Phares Magesa
[/TD]
[TD]Mjumbe wa NEC Temeke
[/TD]
[TD]Mkurugenzi katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]2. Watumishi (bila uongozi)

[TABLE="class: grid, width: 700"]
[TR]
[TD]JINA
[/TD]
[TD]NAFASI YA KISIASA
[/TD]
[TD]Nafasi Katika Taasisi ya Serikali/Umma
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwalimu Regina Ndege
[/TD]
[TD]Mwenyekiti wa UVCC Babati (Manyara)
[/TD]
[TD]Mwalimu wa Shule ya Msingi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Yusufu Mwenda
[/TD]
[TD]Meya wa Kinondoni na Diwani
[/TD]
[TD]Afisa TRA DSM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prof. Robert Mabele & Prof. Michael Ndashau
[/TD]
[TD]Hawa wamepata kuwa wenyeviti wa CCM Chuo Kikuu kwa nyakati tofauti tofauti
[/TD]
[TD]Wahadhiri katika Chuo Kikuu cha DSM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rehema Nchimbi
[/TD]
[TD]Huyu amewahi kuwa mjumbe wa NEC kwa muda mrefu akiwa mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
[/TD]
[TD]Alipata kuwa mhadhiri huku akiwa mjumbe wa NEC
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Wanaposhughulikiwa kina Prof. Safari, Dr. Mkumbo n.k, hawa wanaachwa kwa vigezo vipi?
 
S

samoramsouth

Senior Member
Joined
Jan 16, 2011
Messages
191
Likes
4
Points
35
S

samoramsouth

Senior Member
Joined Jan 16, 2011
191 4 35
Mimi ni mwanachama wa chadema na pia ni mwalimu.
Yeye ni raisi na ni mwanachama wa ccm.
Yeye ni waziri mkuu (kipngozi wa shughuli za serikali bungeni na si nje ya bunge) pia ni mwanachama wa ccm.
Yeye ni mwajiri wa watumishi wote wa umma na ni mwanachama wa ccm, mwenyekiti wa ccm, raisi n.k
katiba iyafafanue yote haya kwani huu ni uvunjifu wa haki za msingi za binadamu.
 
R

RWAMAIGI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Messages
361
Likes
7
Points
0
R

RWAMAIGI

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2013
361 7 0
kila mwana jf anaye jua kiongozi wa serikali mwenye wadhaifa serikalini aweke jina lake hapa. Hapa ndo tuta anzia kufuatilia kiundani kwanini double standard.
SP
1.BW.RWANTUNGAMO-Mwalimu Nkwenda-M/kiti UV-CCM-KARAGWE.
2.GEORGE JOSEPH-Afisa elimu vifaana takwimu MISENYI-KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA BUKOBA(M)
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,807
Likes
701
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,807 701 280
kunya hunya kuku ila bata anaharisha
 
Keen

Keen

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Messages
619
Likes
6
Points
35
Keen

Keen

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2007
619 6 35
Mkumbo kapiga makelele sana, mwishowe wamemwona.

Nani atakumbuka mwl wa shule ya msingi huko Manyara sijui ni mwenyekiti wa UVCCM? Ukila na kipofu usimshike mkono.

Ila na hawa washughulikiwe tu, sheria ni msumeno.

Ila Mkumbo ajifunze naye kuwa mbayuwayu.

Afu mie nawalaumu sana washabiki wake wa jf, walimkuza, akakua, akajisahau na akashinda kutofautisha dunia jf na dunia ya uhalisia. Labda kwa sasa anadhani hata akipita huku kwetu mitaani tunamtazama kwa jinsi alivyo 'femasi', kiukweli ni mdogo sana kwa wananchi wa kawaida (Wasio wanazi wa CDM) nje ya jf.

Ila alikuwa na potential ya kukua kisiasa, sasa sijui kaifanyaje tena. Na akifukuzwa akahamia chama kingine tutajua na yeye ni mganga njaa mwenzetu tu (kuhama chama kwangu huwa ni big no-dalili ya kukosa mwelekeo). Tombe tu wasimvue uanachama, walau 2015 agombee akiwa na CDM.
Ni kweli mkuu, mbwa anayeng'ata ni yule asiyepiga kelele!!
 

Forum statistics

Threads 1,252,104
Members 481,989
Posts 29,795,473