Utumishi wa Umma na Siasa: Wenye Nafasi za Uongozi katika CCM na Serikalini/Taasisi za Umma

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
213
1,726
Wanachama wa CCM wenye wadhifa/utumishi katika taasisi za umma/serikali na katika CC<

1. Wenye Nafasi za Uongozi katika CCM na Serikalini/Taasisi za Umma

JINANAFASI YA KISIASANAFASI KTK TAASISI YA SERIKALI/UMMA
Ndugu Elishila Daniel KaayaMjumbe wa NEC ArumeruMkurugenzi Mtendaji, Arusha International Conference Centre (AICC)
Ndugu ManyanguMjumbe wa NEC BukombeMkuu wa Shule, Shule ya Sekondari Bukombe
Ndugu Phares MagesaMjumbe wa NEC TemekeMkurugenzi katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

2. Watumishi (bila uongozi)

JINANAFASI YA KISIASANafasi Katika Taasisi ya Serikali/Umma
Mwalimu Regina NdegeMwenyekiti wa UVCC Babati (Manyara)Mwalimu wa Shule ya Msingi
Yusufu MwendaMeya wa Kinondoni na DiwaniAfisa TRA DSM
Prof. Robert Mabele & Prof. Michael NdashauHawa wamepata kuwa wenyeviti wa CCM Chuo Kikuu kwa nyakati tofauti tofautiWahadhiri katika Chuo Kikuu cha DSM
Rehema NchimbiHuyu amewahi kuwa mjumbe wa NEC kwa muda mrefu akiwa mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es SalaamAlipata kuwa mhadhiri huku akiwa mjumbe wa NEC

Wanaposhughulikiwa kina Prof. Safari, Dr. Mkumbo n.k, hawa wanaachwa kwa vigezo vipi?
 
Ipo siku hawa hawa CCM wanaoshangilia hizi double standard watakuja kulia zitakapokuja kutumika dhidi yao.Kumbuka ya Kaunda na Chiluba.

Tujenge nchi maana misingi yake ndio salama yangu na yako na vizazi vyetu.
 
Kosa kwa nini wawe chadema ? Wanatakiwa kuwa chama tawala ala! Na hii ndio Tanzania
 
Mkumbo kapiga makelele sana, mwishowe wamemwona.

Nani atakumbuka mwl wa shule ya msingi huko Manyara sijui ni mwenyekiti wa UVCCM? Ukila na kipofu usimshike mkono.

Ila na hawa washughulikiwe tu, sheria ni msumeno.

Ila Mkumbo ajifunze naye kuwa mbayuwayu.

Afu mie nawalaumu sana washabiki wake wa jf, walimkuza, akakua, akajisahau na akashinda kutofautisha dunia jf na dunia ya uhalisia. Labda kwa sasa anadhani hata akipita huku kwetu mitaani tunamtazama kwa jinsi alivyo 'femasi', kiukweli ni mdogo sana kwa wananchi wa kawaida (Wasio wanazi wa CDM) nje ya jf.

Ila alikuwa na potential ya kukua kisiasa, sasa sijui kaifanyaje tena. Na akifukuzwa akahamia chama kingine tutajua na yeye ni mganga njaa mwenzetu tu (kuhama chama kwangu huwa ni big no-dalili ya kukosa mwelekeo). Tombe tu wasimvue uanachama, walau 2015 agombee akiwa na CDM.
 
Tatizo la Dr Mkumbo ni kuwa kigeugeu
angetulia wanasheria wangemsaidia na angebaki katika nafasi yake
sasa hii ya kukana hajawahi kuwa mjumbe tangu mwaka 2010 mara nlishaacha ndio inapotosha zaidi
wapo wahadhiri wengine wana vyeo CCM na bado wako CCM.
 
Hata mimi naona Dr.Mkumbo ameonewa kwa hili. Kwa vile kuna watumishi wengi ni wajumbe kwenye nafasi mbalimbali kwenye chama cha CCM
 
Peter msanjila,mwenyekiti wa uvccm mkoa wa kigoma,na mwalimu wa shule ya sekondari ya kata gungu
 
Dr K Nkumbo kaonewa mara mbili

Kweli mwe------,ye mwenyewe alipoita waandishi pale hotelini akiwa na MM,alikili kuwa ni muhusika na chadema (m-NEC),na kwenye kikao kilichowavua madaraka alikuwepo,baadae huko chuoni kasema alishajitoa tokea 2010,dah!we unaelewaje hapo!?
N.B:
Usione aibu kusema kuwa huyu Dr.&MM ni Mashenzi.
 
Naomba kujuzwa, hivi uwaziri si utumishi wa uma..??? Maana walio kwenye NEC ya CCM na huku wakiwa ni mawaziri tunawajuwa...... Rais si mtumishi wa umma..??? Tena JK ni mwenyekiti wa CCM taifa... Naomba kufahamishwa
 
Hata mimi naona Dr.Mkumbo ameonewa kwa hili. Kwa vile kuna watumishi wengi ni wajumbe kwenye nafasi mbalimbali kwenye chama cha CCM

Mkumbo hajaonewa yaliyomkuta ni kwa sababu kashindwa kutekeleza na kumaliza kazi ambayo alikuwa kapewa ili kuhakikisha CHADEMA inakufa na inawezekana yeye akawa chanzo cha kushindwa kwa mkakati huo hivyo anachofanyiwa sasa ni kupewa adhabu
 
kila mwana jf anaye jua kiongozi wa serikali mwenye wadhaifa serikalini aweke jina lake hapa. Hapa ndo tuta anzia kufuatilia kiundani kwanini double standard.
SP
 
Hata mimi naona Dr.Mkumbo ameonewa kwa hili. Kwa vile kuna watumishi wengi ni wajumbe kwenye nafasi mbalimbali kwenye chama cha CCM

Uongozi wa chuo walikuwa wanajua kuwa ni mwanasiasa,na aliachwa makusudi kwa kazi maalumu,kushirikiana na akina MM,M1,M2 na M3 kuiangamiza CHADEMA,sasa anaelekea kufukuzwa na uanachama na hivyo dili limebuma,sasa kondom imeshatumika ya nini tena!?tupa kule,tena kwenye shimo la choo ili watoto wasichezee,hao ndiyo maCcm.
 
Wako wengi sana wa namna hii. Wakijatwa wote, inabidi ku dedidate magazeti yote ya kila siku ya week nzima kuchapisha hiyo orodha. Kama nilivyo wahi kusema katika thread moja, na sasa narudia kunukuu kauli moja kwenye kitabu kiitwacho the Animal Farm: all animals are equal, but some are equal than others!!!

Wanachama wa CCM wenye wadhifa/utumishi katika taasisi za umma/serikali na katika CC<

1. Wenye Nafasi za Uongozi katika CCM na Serikalini/Taasisi za Umma

JINA
NAFASI YA KISIASA
NAFASI KTK TAASISI YA SERIKALI/UMMA
Ndugu Elishila Daniel Kaaya
Mjumbe wa NEC Arumeru
Mkurugenzi Mtendaji, Arusha International Conference Centre (AICC)
Ndugu Manyangu
Mjumbe wa NEC Bukombe
Mkuu wa Shule, Shule ya Sekondari Bukombe
Ndugu Phares Magesa
Mjumbe wa NEC Temeke
Mkurugenzi katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

2. Watumishi (bila uongozi)

JINA
NAFASI YA KISIASA
Nafasi Katika Taasisi ya Serikali/Umma
Mwalimu Regina Ndege
Mwenyekiti wa UVCC Babati (Manyara)
Mwalimu wa Shule ya Msingi
Yusufu Mwenda
Meya wa Kinondoni na Diwani
Afisa TRA DSM
Prof. Robert Mabele & Prof. Michael Ndashau
Hawa wamepata kuwa wenyeviti wa CCM Chuo Kikuu kwa nyakati tofauti tofauti
Wahadhiri katika Chuo Kikuu cha DSM
Rehema Nchimbi
Huyu amewahi kuwa mjumbe wa NEC kwa muda mrefu akiwa mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Alipata kuwa mhadhiri huku akiwa mjumbe wa NEC

Wanaposhughulikiwa kina Prof. Safari, Dr. Mkumbo n.k, hawa wanaachwa kwa vigezo vipi?
 
Mimi ni mwanachama wa chadema na pia ni mwalimu.
Yeye ni raisi na ni mwanachama wa ccm.
Yeye ni waziri mkuu (kipngozi wa shughuli za serikali bungeni na si nje ya bunge) pia ni mwanachama wa ccm.
Yeye ni mwajiri wa watumishi wote wa umma na ni mwanachama wa ccm, mwenyekiti wa ccm, raisi n.k
katiba iyafafanue yote haya kwani huu ni uvunjifu wa haki za msingi za binadamu.
 
kila mwana jf anaye jua kiongozi wa serikali mwenye wadhaifa serikalini aweke jina lake hapa. Hapa ndo tuta anzia kufuatilia kiundani kwanini double standard.
SP

1.BW.RWANTUNGAMO-Mwalimu Nkwenda-M/kiti UV-CCM-KARAGWE.
2.GEORGE JOSEPH-Afisa elimu vifaana takwimu MISENYI-KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA BUKOBA(M)
 
Mkumbo kapiga makelele sana, mwishowe wamemwona.

Nani atakumbuka mwl wa shule ya msingi huko Manyara sijui ni mwenyekiti wa UVCCM? Ukila na kipofu usimshike mkono.

Ila na hawa washughulikiwe tu, sheria ni msumeno.

Ila Mkumbo ajifunze naye kuwa mbayuwayu.

Afu mie nawalaumu sana washabiki wake wa jf, walimkuza, akakua, akajisahau na akashinda kutofautisha dunia jf na dunia ya uhalisia. Labda kwa sasa anadhani hata akipita huku kwetu mitaani tunamtazama kwa jinsi alivyo 'femasi', kiukweli ni mdogo sana kwa wananchi wa kawaida (Wasio wanazi wa CDM) nje ya jf.

Ila alikuwa na potential ya kukua kisiasa, sasa sijui kaifanyaje tena. Na akifukuzwa akahamia chama kingine tutajua na yeye ni mganga njaa mwenzetu tu (kuhama chama kwangu huwa ni big no-dalili ya kukosa mwelekeo). Tombe tu wasimvue uanachama, walau 2015 agombee akiwa na CDM.

Ni kweli mkuu, mbwa anayeng'ata ni yule asiyepiga kelele!!
 
Back
Top Bottom