Utumishi imeokoa maisha yangu

Utumishi imeokoa maisha yangu

tutsi gal

Member
Joined
May 24, 2014
Posts
33
Reaction score
10
Kwanza namshukuru baba mungu mpendwa kwa fadhiri zake anazonipa...Nilifanya interview Utumishi kwa mala ya kwanza tarehe 10/06 pale mwalimu nyerere . Baada ya hapo nikaitwa kwa usaili wa mazungumzo. Hatimae Leo nimeitwa kazini. Napenda kuwatia moyo wote ambao bado hamjapata ajira kuwa msikate tamaa. Pia msiamin maneno ya kusikia kwa watu kuwa Utumishi hauwez kupata kazi mpake ujuane na mtu. Mm nilikuwa simjui mtu yeyote yule. Napenda kuwaachia ujumbe huu never give up wandugu!!!!
 
Mkuu leo ni Jumapili na ni sa11:08 alfajiri, umeitwaje asbh yote hii?

Btw hongera sana, kapige kazi wacha kushinda Jf na fbk
 
Mmh uko serious au unaota? Leo muda huu au jana jumamosi? Still bado inaacha maswali au umeambiwa jumatatu ndo ukaanze kazi?
 
Kwani ulishaacha kazi utumishi mkuu? naona umekuja kuisafisha ofisi yenu, kwa bahati mbaya umechemka leo ni jumapili kama jana ni jumamosi.ha ha ha ha

Dr MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
Majina yalitoka ijumaa jaman....kuwen waelewa. Jana sikuingia humu ndani coz ulikuwa ni sabato
 
kwa hiyo mkuu ulipanga kujimaliza endapo ungeikosa hiyo nafasi au...???...
 
Hawa utumishi nao wa ajabu sana. Wametuacha mamilioni ya watanzania hatuna ajira, wanakwenda kuajiri watutsi?? i.e huyu tutsi gal
 
Last edited by a moderator:
...na bado sijaelewa utumishi wameokoaje maisha yako,fafanua....
 
hongera kaka, Tupe technical questions wanayopenda kuuliza huko ktk interview na mbinu za kuyajibu.
 
Majina yalitoka ijumaa jaman....kuwen waelewa. Jana sikuingia humu ndani coz ulikuwa ni sabato

wewe ni mtusi? au mhamiaji? au una mzazi mmoja mtusi yaani baba halafu mama ndo mhaya? kwa nini ujipachike jina la tutsi gal? na umeitwa sekta gani?

kwa nia njema tu nijibu maswali yote sometimes tunaweza tutakawa marafiki hata tukaoana me pia ni employed but single
 
Hongera kijana mshukuru mungu kwa ilo na azidi kukusimamia safari yako ya maisha
 
Kwanza namshukuru baba mungu mpendwa kwa fadhiri zake anazonipa...Nilifanya interview Utumishi kwa mala ya kwanza tarehe 10/06 pale mwalimu nyerere . Baada ya hapo nikaitwa kwa usaili wa mazungumzo. Hatimae Leo nimeitwa kazini. Napenda kuwatia moyo wote ambao bado hamjapata ajira kuwa msikate tamaa. Pia msiamin maneno ya kusikia kwa watu kuwa Utumishi hauwez kupata kazi mpake ujuane na mtu. Mm nilikuwa simjui mtu yeyote yule. Napenda kuwaachia ujumbe huu never give up wandugu!!!! HONGERA SANA NDUGU KWA KUMKUMBUKA MUNGU KWA YOTE ALIYOKUTENDEA... ILA USIJE UKAJISAHAU ENDELEA KUMTUMIKIA NAYE ATAKULINDA NA KUKUONGOZA VYEMA KATIKA AJIRA YAKO MPYA HIYO...
 
hongera ndgu,mshkuru mungu kwa baraka zake,tusaidie maswali wanayoulza kwenye oral?
 
wadada wenye sura nzuri na maumbo mazuri ndo wanapata kaz achilia mbali rushwa na undugu Mungu tusaidie
 
Wanauliza maswal ya kaz unayotarajia kuifanya na mengine ni general knowledge
 
Back
Top Bottom