Utumishi hebu kuweni serious: kazi mmetangaza tangu mwezi wa 9 interview bado

Haaah izo za KADCO naona zilipotea hewani na korona maana baadae zikaja kutangazwa zingine za KADCO za maafisa ugavi na walifanya interview bila written ni oral tu na sasa wapo makizini
wajumbe wana dhambi sana.
 
Hahaha! wewe juzi tuu unaanza kulalamika, kuna watu ajira zilitangazwa mwezi Juni, 12/2020 wakasema kwenye Tangazo baada ya deadline hesabu siku 14 ukiona kimya jua imekula kwa mwenye shamba. Lakini cha kushangaza wamekuja kushort list ile wiki ya uchaguzi tarehe 23/10/2020 na watu kutakiwa kwenye usaili kuanzia 31/10/2020. Na mpaka sasa sidhani kama kuna watu wameshaitwa kuripoti kazini. Huenda tukaingia 2021 watu bado wanasikilizia mchongo utiki.
 
duh
 
Najua utumishi mpo humu mlitangaza nafasi za kazi za director of employment facitation and local content na manager of business development and faciliation za NATIONAL EECONOMIC EMPOWERNT COUNCIL tangu mwezi wa 9.

Lakini mpaka leo hii hamna feedback yoyote, kama mna watu wenu washaanza kazi mtuambie haiwezekani shortlisting ichukue miez 3.
Ukiona imetangazwa,ujue tayari imejazwa,
Kwa ukosefu wa ajira sasa hv,hata hao waliopo huko makazini,wanandugu zao,jamaa zao ambao wanataka ajira,hapo ni swala la kupigiana pande tu
 
ninachohisi ni kwamba hizi tasis ambazo hazijaita watu basi kwa kipndi hiki hazipo vizuri kifedha mfano pale KADCO watalii lazima wawe wengi ili maisha yaendelee .

Hakuna hela mkuu me mwenyewe nataka kuhama kazi kuna sehemu nlifanya kudadeki hadi leo sijapata majibu nikajua hela ndio shida watakulipa nini sasa mkuu kama budget haisomi ?
 
Ukiona imetangazwa,ujue tayari imejazwa,
Kwa ukosefu wa ajira sasa hv,hata hao waliopo huko makazini,wanandugu zao,jamaa zao ambao wanataka ajira,hapo ni swala la kupigiana pande tu
noma sana. sasa kwanini wanatangaza?
 
Back
Top Bottom