Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
- Thread starter
- #21
elfu 4 ni gharama ndogo kwa mwanafunzi na mwananchi wa kipato cha chini?
nisaidie mkuu maana wapambanaji wenzangu kwenye hili wamekuwa kama mbogo hawataki kabisa kunielewa....
ukweli ni kwamba mirungi ni dawa ya kulevya na inauzwa ghali . walaji wake ni watu wakipato cha chini na wanajisifu kweli hivi hii ni sifa kweli?
Hatukatai kwamba hii ni starehe ila swali langu bado liko pale wapiganaji wenzangu inatija hii mirungi?