TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,587
Zamani ilikuwa mtu anafaulu then jina lake linauzwa kwa wenye pesa. Aliyefaulu matokeo yanatoka yanaonyesha amefeli kumbe Kuna mtoto wa kigogo amepewa na yupo anasoma huko shule ya vipaji. Kuna ndugu yangu aliwahi kuta jina lake linasoma form four huko Ihungo secondary school.
Tukifatilia kwa umakini watoto wa vigogo wengi waliopo huko Serikali na AC ofisini waliowengi wanatumia majina ya watu wa vijijini ambao walikuwa vichwa Enzi zile.
Tukifatilia kwa umakini watoto wa vigogo wengi waliopo huko Serikali na AC ofisini waliowengi wanatumia majina ya watu wa vijijini ambao walikuwa vichwa Enzi zile.