Mimi nilikuwa mteja mkubwa wa hizi dawa(product). Nilikuwa nanunua product za aina nyingi. Nilikuwa nawapa watoto wangu dawa ya mswaki ambayo nayo ilikuwa inasifiwa inafaa kwa watoto.
Baada ya muda nikaona watoto wa wafanyakazi wangu wametoboka meno kwa sababu ya hii dawa kwani wenyewe wanasema aina floride kabisa.
Mara nikaona na meno ya watoto wangu yameanza kugina na jino moja limeshaanza kuashiria kutoboka. yani niliziacha zile product zote mara moja na ninazo nyingine sijazifungua na wali sitaki haya maproduct tena.
Tuwe makini sana watanzania na hizi product. Tuna vitu vingi fresh ambavyo atuitaji product wala kunufaisha wazungu. Tuna vyakula vingi vipo ambavyo ni organic na tuna access nanvyio kila siku. huku hakuna mavyakula ya MACDonald.