Huu mjadala nadhani umetupa sababu nyingine ya kukutana Brajec kuujadili.
Madame B na Nicas Mtei, tunaomba mwongozo wenu tafazali
Usijali Babu Chuchu.
Sema ndo hvo tena
Hah hah hah hah hah! Wakukutana watakuwa dar!? Labda uje Arusha!
Afu shem unan'tafuta wewe.
Tatizo watu wa Dar wagoni sana,wanaogopa kufumaniana.
Umeamka swalama lakini?
hah hah hah hah haaa! Uliza, tumeamka salama!? Nipo na wifu hapa!. Nilitaka kumjibu babu Asprin nikaji mix. Anyway, watu wa Dar ni wazito sana. Nasubiri nione watakaokuja Tanga. I hope you'll be there. Tumeamka salama sana.
Unauliza Paka Jikoni wakati ndo makazi yake.
Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!
Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!
Huna lolote, mndali awe mzungu?
We rudi kwenu Ibaba!