Utoto Umezidi humu

Utoto Umezidi humu

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
1,749
Reaction score
1,311
Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!
 
1252585870-1.jpg
 
Matatizo ya watu kama akina Mungi kila mara kuwa serious kama anafanya mtihani kesho,

Huko ni Chit Chat bana, huitaji nguvu nyingi kama unalima ili upost comment yako tehe tehe.

Mungi nakutaka radhi kamanda maana najua utaleta balaaa.
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!

Vipi mkuu, Nape na Mtatiro wanasemaje, katiba mpya vipi?, vipi kuhusu mkutano wa jana wa CCM??
I see this is what you want to hear!! Msalimie mkeo mkuu!
 
Yesu akasema-waacheni watoto waje kwangu,kwa maana Ufalme wa Mungu ni wa watu kama hao{not exactly kama kwenye BIBLIA yako}
 
Kichwa cha habari kinahusika.
Misuto,umbeya na habari zisizo na mantiki...aarghhh!!!!

Haya ndo matatizo ya kuanza kupiga msuba ukubwani,we mwana hizaya wewe alokutuma uje chitchat nani,umelazimishwa,au kura zako za uneki hazikutosha ndo ukaja kumalizia mihasira hapa,tena utukome kama mitt romney alivyowakoma wapiga kura wa marekani.
 
Matatizo ya watu kama akina Mungi kila mara kuwa serious kama anafanya mtihani kesho,

Huko ni Chit Chat bana, huitaji nguvu nyingi kama unalima ili upost comment yako tehe tehe.

Mungi nakutaka radhi kamanda maana najua utaleta balaaa.
Achana nae,uso umemkakamaa utadhani ni juma kaseja baada ya kufungwa bao la pili na mtibwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom