Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Naumwa Hatari
Pole sana dia!
Naumwa Hatari
Pole sana dia!
Flu imenishika kweli
Duh pole sana.
Ahsante habibty
Vipi eid ilikuaje? Mlienda kutembea wapi? Hebu niumize roho kdg lol
Duu mshana jr unafaudu, ntafutie na mie bana!
Hiko chombo hakitafika
Ha Ha haaaaa. Lol
Nimetoka eid ya mwisho. Nimewapeleka wtt swimming Zanzibar park. Pamoja no kuona wanyama.
Naumwa Hatari
Pole sana, naomba nifahamishe ulipo nkuletee juice ya karkadee ya pale Lukuman au ya ndimu kabisa! "Laa baasa ttwahuur..." kwa hisani ya Kipilipili
Hahahhaha udenda umentoka mgonjwa mroho mie  niletee basi