Ujue bado nasubiria address, mie Msamaria sitanii! Au umeshapona?
Sijapona bado yaani si nlijisahau nkala karanga hata kupumua vizuri nlikua siwezi adress yaja lol
Ujue bado nasubiria address, mie Msamaria sitanii! Au umeshapona?
Duu mshana jr unafaudu, ntafutie na mie bana!
Una vinasaba na maishapopote?
Pole sana, naomba nifahamishe ulipo nkuletee juice ya karkadee ya pale Lukuman au ya ndimu kabisa! "Laa baasa ttwahuur..." kwa hisani ya Kipilipili
Usinisahau kunipitia twende wote! farkhina hadi amepona amegoma nimpelekee juice.
Hahahahah sijagoma nimekusubiri sana ivoo
Haujatoa address, nikaishia kunywa juice ya Avocado, yani pale kila kitu kitamu dah! kuanzia dagaa la kuchemsha na kiwango hakishuki. Wamejitahidi sana kumaintain kiwango kwa kweli.
Angel Nylon naona amechangamkia fursa, nikaona si vibaya tukienda kuburudisha makoo Lukuman.
mshana jr utajumuika pamoja nasi?
Mmmmmmmhhhh Samaritan nani ati kachangamkia fursa? Unamaanisha???
Haujatoa address, nikaishia kunywa juice ya Avocado, yani pale kila kitu kitamu dah! kuanzia dagaa la kuchemsha na kiwango hakishuki. Wamejitahidi sana kumaintain kiwango kwa kweli.
Angel Nylon naona amechangamkia fursa, nikaona si vibaya tukienda kuburudisha makoo Lukuman.
mshana jr utajumuika pamoja nasi?
Hahahahahaah nambie tu tukutane wapi nami nijumuike siku hiyo nsije breakfast lol
Mh! habari ishabadilika, nasubiri kwanza mshana jr atoe idhini ya kwenda na lini atakua na nafasi, vinginevyo inabidi tuwatenge.
Haya ndio matatizo ya kutokua watoto.... kwa kweli utoto raha. Japo ile ya madirector wa movie bado imashika chati, sijui anazitoa wapi?
Haujatoa address, nikaishia kunywa juice ya Avocado, yani pale kila kitu kitamu dah! kuanzia dagaa la kuchemsha na kiwango hakishuki. Wamejitahidi sana kumaintain kiwango kwa kweli.
Angel Nylon naona amechangamkia fursa, nikaona si vibaya tukienda kuburudisha makoo Lukuman.
mshana jr utajumuika pamoja nasi?
Wallah yakhee. Ila, mmmhu pangu pakavu hawali pale.
Wasiwasi wako nini? unafikiri namng'ang'aniza mshana jr kwanini twende wote? wadhamini hawatakosekana, ila hofu yangu farkhina akipona mafua tu offer inaexpire kwa sababu hii ilikua ni zawadi ya mgonjwa sasa akipona inabidi utaratibu ubadilike tunaweza kwenda hata pale pembeni kuna mzee anauza bokoboko na juice ya tende nzitoo unatumia kijiko, Unguja raha sana