Utongozaji wa wanawake mjini huu hapa

Utongozaji wa wanawake mjini huu hapa

kweli mkuu ukishajua udhaifu wa mwanamke kushnei

kuna mmoja nilimfukuziaga kama wiki moja ivi kila nikimwambia namhitaji ananipiga kalenda mwenyewe akaniropokea naomba mia tatu nikanunue kichwa utumbo na mguu wa kuku nikampatia kesho yake nikashika mkono ili nimshawishi tufike adi geto nikamnunulia hivo vitu vya 1000 kala we kamaliza bada ya mda nikajitanulia miguu kiulaini mpaka leo nikimwitaji tu nampata kwakumnunulia hivo vitu
Hahahaha... Dah! Kwa 1300/=

Udhaifu wake ndiyo hivyo vitu...

Kwani udhani mademu au wake za watu wanachukuliwa vipi... ni ukijua udhaifu wake tu basi..
 
Kama wewe ni mbishi... mimi mtukutu na sina nidhamu ya uwoga na sijawahi kuogopa chochote, popote.. zaidi ya kuheshimu tu... Alafu wewe mwenye maneno mengi ndiyo mwepesi sana...

Nikiamua nakupata, hakuna liliowahi kushindikana kwangu...

mimi vijana wako hawanisumbui...

Hahahahaaa haya bana Nikisema hivi si kuwa nimekubali kushindwa .... la hasha bali nimeamka kuacha ili nisije nikatoa siri ya kambi.
Pia ni vizuri kuwa na heshima maana ukiweka ubishi mbele unaweza jikuta unashusha gagulo la sister wako ikawa soo au ya shangazi ni noumer
 
Muache atambe...hajakutana na vichwa huyo!
Always nyoka kwa chatu hanaga ujanja, kamwe.
 
Hahahahaaa haya bana Nikisema hivi si kuwa nimekubali kushindwa .... la hasha bali nimeamka kuacha ili nisije nikatoa siri ya kambi.
Pia ni vizuri kuwa na heshima maana ukiweka ubishi mbele unaweza jikuta unashusha gagulo la sister wako ikawa soo au ya shangazi ni noumer
Heshima nayozungumzia hapa siyo hiyo... ni heshima ya kuwa kutokuwa na dharau, matausi wala kejeli...

Nashukuru kwa kukubali kushindwa.. maana yake ungekubali sasa hivi...

Zaidi ya mama yangu na ndugu zangu wa kike... mwanamke mwingine yoyote nikimvua gagulo lake wala sitojutia... no matter the age...
 
Sijakubali kushindwa nimeamua kuacha. .....
I bet hata uweke mzigo mezani hunipati ng'oo
 
Acha kunishawishi sitaki lawama... uje kusema huwezi niacha...

Hahahahaaaa
Waapiii mbadoo sanaaa
Ushakutana na ile..... ukinipiga unanionea, ukiniacha unaniogopa hahahahahahahahaaaaaaaaa
Au ile jamani nishikeni jamani nizuieni jamani nikipigana nae huyu ntamuumiza mimi huku ukirudi nyuma hahahahahhaaa

Ndo wewe hapo 😛😛😛
 
Sijakubali kushindwa nimeamua kuacha. .....
I bet hata uweke mzigo mezani hunipati ng'oo

Kuamua kuacha ndiyo kukubali matokeo yenyewe hayo... kukubali kushindwa huko...

Acha kunishawishi na kunipima... alafu uje kusema huwezi niacha na kunipa lawama kibao...
 
Hahahahaaaa
Waapiii mbadoo sanaaa
Ushakutana na ile..... ukinipiga unanionea, ukiniacha unaniogopa hahahahahahahahaaaaaaaaa
Au ile jamani nishikeni jamani nizuieni jamani nikipigana nae huyu ntamuumiza mimi huku ukirudi nyuma hahahahahhaaa

Ndo wewe hapo 😛😛😛
Hahahahaha... nishaziona kwa wengine lakini siyo kwangu... najiamini kuliko hata imani yenyewe...

Moyo wangu hauna nidhamu ya uwaoga hata chembe... na napoamua jambo nafanya kweli... napoamua kukamua nakamua kweli... napoamua kudharau nadharua jumla ila siyo kukuvunjia heshima..
 
Kuamua kuacha ndiyo kukubali matokeo yenyewe hayo... kukubali kushindwa huko...

Acha kunishawishi na kunipima... alafu uje kusema huwezi niacha na kunipa lawama kibao...

Hahahahahaaa sizitaki mbichi hizi

Kasie kisiki kirefu kukiondoa shoka na mundu pekee havitoshi lools
 
Hahahahaha... nishaziona kwa wengine lakini siyo kwangu... najiamini kuliko hata imani yenyewe...

Moyo wangu hauna nidhamu ya uwaoga hata chembe... na napoamua jambo nafanya kweli... napoamua kukamua nakamua kweli... napoamua kudharau nadharua jumla ila siyo kukuvunjia heshima..

Basi endeleza heshima ili heshima uliyonayo isivunjike hasa kwa ze legendary
 
Back
Top Bottom