Utongozaji wa wanawake mjini huu hapa

Utongozaji wa wanawake mjini huu hapa

Sema tunatofautiana, kila mmoja anapata mkate kwa style yake, huenda wewe unayetumia uongo unakumbana complication nyingi wakati wa kumnasa mwanamke tofauti na wwngine kama mimi ambao hatuoni ugumu wa mwanamke, hivyo hatuna sababu ya kudanganya.
Hata mimi sinaga ugumu na hao viumbe... ni kujua kucheza na akili zao na matakwa yao tu.. ila usicheze na hisia zao...
 
Nipo pale pale... wewe ni mwepesi sana... nakupiga kimya kimya... bila kelele... sasa kusema au kukaa kimya juu yako... lakini usha...

Hahahahaaaa unafikiri hao ni Kasie....... umenoa ni bora ukauliza wazoefu walau uje na njia mpya ulizozipanga hadi saa hii ninazo na najua jinsi ya kuzitatua. .... achimpati mtu hapana

Kuficha aibu kuwa umetoka KO namezea tuu au ndo ile unakufa kiume heheheh wenyewe mnaita kishujaa kumbee kufa kihoro hehehehee
 
kweli mkuu ukishajua udhaifu wa mwanamke kushnei

kuna mmoja nilimfukuziaga kama wiki moja ivi kila nikimwambia namhitaji ananipiga kalenda mwenyewe akaniropokea naomba mia tatu nikanunue kichwa utumbo na mguu wa kuku nikampatia kesho yake nikashika mkono ili nimshawishi tufike adi geto nikamnunulia hivo vitu vya 1000 kala we kamaliza bada ya mda nikajitanulia miguu kiulaini mpaka leo nikimwitaji tu nampata kwakumnunulia hivo vitu
Teh, kwaio total cost ni 1300....sasa naombeni mjue kututofautisha huyo ulimpata kwa uraisi sio kila dem ni hivyo
 
Kuna mwanamke mmoja anacheo fulani hivi... na ni mzuri ni mzuri sana... yeye kila niki chat nae ni story za maisha fulani hivi ya gharama... kila nikimtongoza anapotezea.... siku akataja udhaifu wake kwamba yeye anapenda sana gari inaitwa Murano yani akiiona dah anapagawa kabisa...

Ikawa point ya ushindi kwangu... nikabadilishana gari na rafiki yangu kwa siku tano tu... akanipa Murano yake... nikamfanyia suprise ya kumfuata kazini nimrudishe kwake.. kwa Murano ya kuazima...
Mbona tulimalizana siku ile ile...
Ha ha haa, chezea mwanaume wewe!
 
Back
Top Bottom