Utongozaji wa wanawake mjini huu hapa

Utongozaji wa wanawake mjini huu hapa

Haaaa haaaa haaa haaa,nmecheka,sana,aiseee
 
Kuna mwanamke mmoja anacheo fulani hivi... na ni mzuri ni mzuri sana... yeye kila niki chat nae ni story za maisha fulani hivi ya gharama... kila nikimtongoza anapotezea.... siku akataja udhaifu wake kwamba yeye anapenda sana gari inaitwa Murano yani akiiona dah anapagawa kabisa...

Ikawa point ya ushindi kwangu... nikabadilishana gari na rafiki yangu kwa siku tano tu... akanipa Murano yake... nikamfanyia suprise ya kumfuata kazini nimrudishe kwake.. kwa Murano ya kuazima...
Mbona tulimalizana siku ile ile...
Na tutawafunua mpaka wakome
 
Ssshhh kesho jumatatu...

Wewe kula ujana.. ila jiandae kuliwa na smart911...

Maneno ya mpangaji hayo hayamnyimi usingizi mwenye nyumba, mla mla leo mla jana kala nini?
.................tehee twende ... twende....😛😛😛
 
Kelele za mbu hazimnyimi usingizi mwenye nyumba...

Tukienda utakubali... Acha kulamba lamba...🙂 🙂 🙂
 
Kuballi yaishe, mwanamke hawi mbishi hivyo... Kuna raha bado hujazipata...

Kuna watu walishasema huyu Kasie anahulka za she-male............ mie ubishi nimezaliwa nao nikiuacha nakuwa sio Kasie.... UPOOO???

Raha zote unazozijua wewe mie nilishaziona na kuzila kabla hata hujaliona jua na hakuna jipya yote yanajirudia. Hivyo ukijitutumua kunionyesha hizo raha utashaa mwenzio kwangu ni revision halafu wala sishtuki ndo kwanzaaa nachonga kucha zangu najiandaa ku m-massage mtu hadi ataje pasiwedi zake zote leo jioni ..............🙂🙂🙂
 
Kelele za mbu hazimnyimi usingizi mwenye nyumba...

Tukienda utakubali... Acha kulamba lamba...🙂 🙂 🙂

Kumbe wewe sio we kitambo kile hata maana ya msemo niliouweka hapo hukuelewa maana yake....

Hhehehee ungekuwa wa kitambo kile ungejua jinsi ya kuitikia twende twende........ twende twendee............... hahahahahahaaa

Ati lamba lamba unapenda eeehhh utakatika ulimi huo hahahahahaaa
 
Kuna watu walishasema huyu Kasie anahulka za she-male............ mie ubishi nimezaliwa nao nikiuacha nakuwa sio Kasie.... UPOOO???

Raha zote unazozijua wewe mie nilishaziona na kuzila kabla hata hujaliona jua na hakuna jipya yote yanajirudia. Hivyo ukijitutumua kunionyesha hizo raha utashaa mwenzio kwangu ni revision halafu wala sishtuki ndo kwanzaaa nachonga kucha zangu najiandaa ku m-massage mtu hadi ataje pasiwedi zake zote leo jioni ..............🙂🙂🙂

Acha matangazo... muda wa kazi huu... kwa hiyo ndiyo unanitaarifu mbinu zako... mimi account zangu hazina ATM Card... kama unaakili utakuwa umenielewa...

Kuna raha moja bado hujaiona wewe... tulia uyaone... unaongea sana... Mimi nakuona wa kawaida sana...
 
Kumbe wewe sio we kitambo kile hata maana ya msemo niliouweka hapo hukuelewa maana yake....

Hhehehee ungekuwa wa kitambo kile ungejua jinsi ya kuitikia twende twende........ twende twendee............... hahahahahahaaa

Ati lamba lamba unapenda eeehhh utakatika ulimi huo hahahahahaaa

kwani hapa tunaputa ili tuanzishe ugomvi... Hizo twende twende huku mnapigana na vibega... hizo ni Analog... sasa hivi unagongwa tuu...
 
Acha matangazo... muda wa kazi huu... kwa hiyo ndiyo unanitaarifu mbinu zako... mimi account zangu hazina ATM Card... kama unaakili utakuwa umenielewa...

Kuna raha moja bado hujaiona wewe... tulia uyaone... unaongea sana... Mimi nakuona wa kawaida sana...

Sihitaji kujielezea kuwa niko likizo au niko off au niko field au niko stand by au wherever.................

Wewe ndo ujiangalia usiharibu ajira yako, angalia usiige Tembo kupuu............... utapasuka ..........................

Ni vizuri ukiwa a mtazamo huo ili usepe na uendelee na yako. Usiku mwema.
 
kwani hapa tunaputa ili tuanzishe ugomvi... Hizo twende twende huku mnapigana na vibega... hizo ni Analog... sasa hivi unagongwa tuu...

Kweli asiyejua maana haambiwi maana..............

Nikiamka ntaangalia kama maelezo yako yatajitosheleza basi utaambiwa maana la hakuna namna............. una................ tu teh!!
 
Sihitaji kujielezea kuwa niko likizo au niko off au niko field au niko stand by au wherever.................

Wewe ndo ujiangalia usiharibu ajira yako, angalia usiige Tembo kupuu............... utapasuka ..........................

Ni vizuri ukiwa a mtazamo huo ili usepe na uendelee na yako. Usiku mwema.

Hahahaaha ati nini, Stand by... Unagoja kufanywa nini... hahahaha...

Unajuaje kama nimeajiriwa au nimejiajiri? Labda nipo Stand by Kufanya... Kwa hiyo wewe ni tembo? Unanifukuza kwani hapa kwako... Kalale mwenyewe... 😎 😎 😎
 
Back
Top Bottom