Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,883
- 5,189
Haya ni magazeti kutoka kampuni moja yaliyotoka leo June 16th. Lakini vipaumbele vya habari vimetofautiana sana. Habari kuu kwenye kiswahili[Mwananchi], ni Kesi ya Sabaya [Siasa] huku kwenye la kiingereza [The citizen] ni habari ya Usafirishaji (Biashara & Uchumi), huku habari ya Sabaya ikiwa katika maandishi 'madogo' katika eneo ambalo usipokuwa makini unaweza usione. Hii ina tafsiri gani kwa wataalamu wa habari?
Cc Pascal Mayalla
Cc Pascal Mayalla