Utofauti wa Mkenya na Mtanzania huu hapa

Mwenye akili hupambana na hali yake bila kushobokea wengine na kujitukana mwenyewe.

Ukiwa na tatizo nyumbani kwako halitatuki kwa kwenda kujitangaza mwenyewe kwa jirani zako na kuwasifia wao hata kwa mambo ya kijinga kabisa.

Bufa

Usitumie mipaka ya ardhi na idealogy ya CCM kugombanisha wanadamu!

Unaambukiza hapa tuwachukie Wakenya,kwa basis ipi hasa wewe raia mwenye chuki?

Usikae uweke kosa kwa wananchi wakati mandate ya kututawala tumewapa nyie.

Kwanini mwananchi anamsifia jirani yake Mkenya,wewe hutaki unataka nini?Akusifie wewe?

Kuna chanzo cha yeye kusifia Mkenya,na chanzo hasa ni utawala wetu mbovu!

Tungekua na utawala unaotimiza majukumu yake kwa usahihi vitu kama hivi visingekuwepo

Chanzo ni nyie....Mwanachi hana kosa kabisa!

Halafu tabia za kipumbavu za kuwavisha wananchi wa nchi hii dhambi za kipumbavu kutokana na definition yenu muache!
 
Wakenya Siyo selfishness ni wazalendo kwa nchi yao.

Ukionana na mkenya ndani ya muda mfupi atakuelewesha mazuri ya nchi yao ,yuko tayari akudanganye mlima kilimanjaro upo kenya ili kupamba nchi yake.
Lakini ukikutana na mtanzania ndani ya dakika mbili utakuwa umeshajua mabaya yote ya Tanzania ,mtanzania yupo tayari akudanganye Tanzania kuna ugaidi na udikteta nafuu ya Syria, hapo sasa nafsi yake inapata amani ya kichadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia kenya utupunguzie idadi ya majuha
 
Na Kenya hakuna rais mjinga anayeua watu wake kisa wanatofautiana naye kimitazamo ya kiitikadi

2020 John Walker out

Sheer stupidity, nani alimuua Tom mboya??, nani alimuua Robert Ouko??, Just to mention a few.

Hujui Kenya wanao ugonjwa mbaya sana unaoitwa kitaalamu "Racism".??!!!
 
Hivi kenya kuna mashindano ya umiss? nawaza ujinga hapa.....maana mademu wa kenya wana sura mbaya...kama wanakunya!!!
 
Ni tatizo la elimu. Watu wanapata vyeti lakini ukiongea naye hata mambo ya kawaida, Dah! Naomba sana walioko vyuoni wasiishie kufundisha mahesabu magumuuu! Au historia ya mkwawa shujaa tu! Hapo zamani m-TZ alifundishwa hata ubaya wa majirani, viongozi wabovu, n.k. Leo hii mwalimu anamaliza syllabus tu akimbilie kuendesha bodaboda.

Angalia wanaosifiwa eti wako imara: Zitto, Lissu, Mnyika. Watu wanaotukana wakivizia kukamatwa ili waitwe hawaogopi. Nilimpenda Slaa na Mbowe lakini sasa tena naona Mbowe naye kaambukizwa eti anakwenda balozi za EU kushtaki nchi! Jamani! Hayo waachie akina Mnyika ambao hawajawahi kupitia vyuoni. Hawajawahi kufundishwa bali wanajifunza wenyewe kama mtoto wa ngedele!
Hilo nalo ni tatizo Tanzania, kila jambo lazima lijaziwe na siasa za Chadema na CCM! Tunapoteza muda mwingi kubishana na kujenga chuki za kisiasa, wakenya watachukiana kisiasa lakini dakika mbili wako kwenye kazi wamesahau siasa.
 
MKENYA akifika HOTEL atasema WEWE LETA CHAI HAPA...na MTANZANIA atakwambiya NAOMBA NILETEE CHAI TAFADHALI.....hyo ndy tofauti yetu....watanzania ni WAPOLE NA WAKARIMU sn....tofauti na upande wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote huwa nasema kuwa AMANI NI ZAO LA HAKI,KWANZA HAKI NDIPO INAZALIWA AMANI TENA BILA KULAZIMISHA,WENYE AMANI FURAHA INAONEKANA KWENYE PAJI LA USO WAKE IKITOKEA NDANI YA NAFSI YAKE. Watanzania wengi hawana hawana Amani,wenye Amani 1/4 tu ambao wana kula keki ya taifa pamoja na watawala,ndiyo hawa wanaopongeza kila kukicha. Wakenya wana AMANI KWAKUWA HAKI INATENDEKA KWA MUJIBU WA KATIBA. Kenya kiongozi akivunja katiba tu anawajibishwa tena aweza kuwa mkenya mmoja tu,mpaka kieleweke. Je TZ HII IPO? Kenya kiongozi akiiba pesa ya uma, huyo atashikishwa adabu, TZ HII IPO? nk. Kenya inaweza jitokeza NGO ndogo tu kufundisha wananchi kuzijua haki zao za kikatiba na serikali ikasaidi. FANYA HIYO TZ,USIPOBEBWA HUKU UMESHIKWA SURUALI KWA NYUMBA KAMA MWIZI! Watanzania hawana amani ya nafsi,mioyoni wana mizigo mizito,wanatafuta pa kuitua( mahali pa kusemea) akitokea mtu akiuliza juu ya Tanzania, Jamaa anakuwa kapata nafasi ya kutua mzigo,atasema kila kila kitu,hata kutukana atatukana. Leo tuna mjadala kuhusu Prof ASSAD, eti kisa kusema ukweli! ASSAD, utakuwa navamani? Tunaojua dhurma hii ya haki ya kujieleza kupata habari na kukosoa, tutakuwa na Amani? FIKENI MAHALI BASI,WAPENI WATU HAKI ZAO ZA KIKATIBA,WATENDEENI HAKI ILI WAWE NA AMANI ILI TAIFA LIREJEE KWENYE FURAHA NA UMOJA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lililopo ni tunakariri mambo badala ya kuelewa,kenya ni nchi ya kibepari , tena wameminyana sana, watu kama akina kariuki , unajua kilimtokea nini? Na yule wa tume wauchaguzi Tena juzi tu hapa umefuatilia kisa chake? Kha ! Unazijua siasa za kenya wewe?
 
Umesoma vizuri hoja ya mleta mada au umeamua fikiria tu na kujibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya Siyo selfishness ni wazalendo kwa nchi yao.

Ukionana na mkenya ndani ya muda mfupi atakuelewesha mazuri ya nchi yao ,yuko tayari akudanganye mlima kilimanjaro upo kenya ili kupamba nchi yake.
Lakini ukikutana na mtanzania ndani ya dakika mbili utakuwa umeshajua mabaya yote ya Tanzania ,mtanzania yupo tayari akudanganye Tanzania kuna ugaidi na udikteta nafuu ya Syria, hapo sasa nafsi yake inapata amani ya kichadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan hapa sasa naona unataka kuwaletea wanajamvi debate kali sana kama ilivyokua kwa akina Marx na capitalist classes

Yaan debate kama ilivyokua kwa wana ujamaa na ubepari, who is who and who was the best and good than another

Nalinganisha hizo hoja kama ilivyokua kwenye
√Africanist perspectives Vs Eurocentric perspectives

Ngoja tuone labda wew cjui una utaifa upi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukionana na mkenya ndani ya muda mfupi atakuelewesha mazuri ya nchi yao ,yuko tayari akudanganye mlima kilimanjaro upo kenya ili kupamba nchi yake.
Lakini ukikutana na mtanzania ndani ya dakika mbili utakuwa umeshajua mabaya yote ya Tanzania ,mtanzania yupo tayari akudanganye Tanzania kuna ugaidi na udikteta nafuu ya Syria, hapo sasa nafsi yake inapata amani ya kichadema.
Inawezekana ni kweli lakini kwa nini? Mkenya huenda anamatumaini na Kenya yake na labda Mtanzania amekata tamaa na nchi yakeTanzania najaribu kuwaza tu
 
Back
Top Bottom