Utofauti wa Mkenya na Mtanzania huu hapa

ndiyo maana wakati Raila anajipisha kuwa Rais wa wananchi; Rais Uhuru alimpatia hadi ulinzi hadi zoezi likakamilika.
Niambie hapo,ingetokea Lowasa angesema kwa kuwa ameibiwa kura angefanya kama odinga. Pangebaki Salama? Ile kutaka kuzunguka kuwashukuru watanzania, mkwara wake siyo wa nchi hii. Watu kutaka kumuombea Lisu,kilitokea nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Mtz Mimi. Nimeshaeleza mazuri ya kuvutia Tz mara kibao, na hata nikiulizwa hali ya kisiasa ninajinasibu ni ya kidemokrasia, na jinsi tunavyoishi kwa amani na kuwa tegemeo/ kimbilio la nchi zenye machafuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie hapo,ingetokea Lowasa angesema kwa kuwa ameibiwa kura angefanya kama odinga. Pangebaki Salama? Ile kutaka kuzunguka kuwashukuru watanzania, mkwara wake siyo wa nchi hii. Watu kutaka kumuombea Lisu,kilitokea nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Iga mambo ya maana siyo kuiga mambo ya kijinga ya kujiapisha huku ukijua kujiapisha kwako hamna impact yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kweli, watanzania ni watu wa kweli na wasiopindisha ukweli pale penye kusifia wanasifia na pale panapotakiwa kukosolewa hukosoa. ningekubaliana na ww kua watanzania ni waoga na wanafiki.

mfano ukionana na mtanzania ukamuuliza kuhusu Nyerere wengi watakueleza kua ni Rais alietutoa sehemu na kutupeleka sehemu na kujisikia fahari kua na Yeye kama Rais wetu

na mfano mbaya ukikutana na mtanzania na ukamuuliza kuhusu upinzani na siasa za tanzania kwa sasa atakueleza kwa uwazi kua kwa sasa demokrasia imebanwa na wapinzani hawafurukuti, bali atakueleza kwa unafiki na woga kua sababu ya hayo ili Rais alete maendeleo maana wapinzani wanapiga sana kelele. wengine wataongeza unajua nchi bila ya kua dikteta haitaenda.

bali watanzania wako humble na wakweli

nenda offisi yoyote ya serikali au mtu binafsi unataka kitu fulani na una haki zako zote vibali vyote kama utafanikiwa kwa upesi nenda uhamiaji una kila kitu kama hujasumbuliwa hiyo ni tanzania
 
Kenya kuna nini zaidi ya Rushwa za viongozi. Kila gavana ni milionea. Kila waziri ni mwizi. Kuna waziri na gavana wako mahakamani hapa tunapoongea. Kenya kila kabila linachuki na kabila jingine. Mimi nipo hapa Mbeya sijawahi kuulizwa kabila wala dini.
Huku mngoni anagombea ubunge Tanga anapata. Mwambie mjaluo wa Kenya aende Meru akagombee hata udiwani kama hawajamtahiri asubuhi kweume
 
Nimesoma kidogo nikashtuka "radhi akudanganye" Kwahiyo unajivunia uongo? Siasa siasa siasa imemwinua shetani. Sawa na uchumi wenu unaokuwa kwenye makaratasi wanainchi wanakula mlo mmoja.
 
Nimesoma kidogo nikashtuka "radhi akudanganye" Kwahiyo unajivunia uongo? Siasa siasa siasa imemwinua shetani. Sawa na uchumi wenu unaokuwa kwenye makaratasi wanainchi wanakula mlo mmoja.
Jikite kwenye hoja
 
Back
Top Bottom