Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika uchawi najinsi inavyo athiri maisha yako

Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika uchawi najinsi inavyo athiri maisha yako

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa na kama umepigwa kombora dalili moja wapo nikuota ndoto zakutisha usiku na mchana.

🍇Kombora ziko aina mbili, moja inaitwa (Kaliloze) ambayo hii inapiga masafa marefu kwa speed ya kufumba na kufumbua na nyingine inaitwa (Lilombamema) hii inapiga masafa mafupi nandio maana mchawi anaweza kukuhalibia maisha yaki popote ulipo kwamaana halisi mchawi huwezi kumkimba bali kuepukana nae ni kupata kinga pamoja natiba.
1756868698674.jpeg

🍇Kombora ni tofauti na Kipapai,
Kipapai ni moja ya uchawi hatari sana, ni uchawi unaofanywa kwa lengo maalumu na kwa muda maalum, kipapai ni kuzubaishwa au kuangamizwa na kudhurika kimwili na kiakili, kwa kifupi haya ni matukio ya kupumbaza akili na kuja kushtuka baadae mambo yanapokuwa yamekwisha kama nibiashara hasara paka utakapo filisika kama unapata pesa huwezi kutimiza malengo kupata matatizo yasio isha kukisa mawazo au kusahau mawazo yako kipindi unapo pata pesa nk

🍇Kuna kipapai cha maradhi mfano wa kutupiwa maradhi mwilini) ndio unaweza kukuta mtu magonjwa haya mwiishi ye kila siku tatuzo jipya pia kuna kipapai cha kwenda hovyo kurukwa na akili au kurogwa ndio maana usione mtu anaongea mwenyewe anaokota makopo unazani anapenda ni ubaya wa binadamu.

🍇Ukipigwa Kipapai haufi, Ila ukipigwa Kombora ni lazima upoteze uhai (Kombora ni pigo la kuua) ambalo mchawi hulituma kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la kuangamiza.

🍇Makombora kadhaa huwa yanapanguliwa na kinga maalumu ambayo imetengenezwa kwa kutumia nyota yako , na kama huna kinga basi lazima likupate pia kama kinga yako haina nguvu lazima likupate hapo ndio utasikia mtu hajaumwa au kafa kifo xha ajali

🍇Makombora yanaweza kutumwa mengi bila kuchoka na hiyo ndio huwa njia ya mwisho ya mchawi na kama mwanao kapigwa kombora utamuona usiku anaweweseka mala ana ongea mambo yasio eleweka si kwa mtoto hata wewe mtu mzima utakuwa unaota ndoto za kutisha kilasiku ama ndoto za kifo

🍇bunduki ya Kaliloze
Hii ni Kaliloze-Gun maarufu (tobolo ya kaliloze), bunduki nyeusi ya uchawi ambayo inaaminika kuwa wachawi hutumia kuua watu kwa kunyoosha kwenye mionzi ya jua. Inaaminika pia kwamba Kaliloze inaweza kuua mtu hata kama yupo Amerika au Uingereza. Kwasababu yenyewe hupiga masafa marefu, hutumika mchana au hata usiku kwaiyo usijidanganye kuondoka kwalengo lakumkimbia adui maana anauwezo wakukumaliza ama kukuhalibia maisha yako hata ukiwa mbali.

🍇hii ni hatari sana maana hakuna mchawi anae hitaji wewe uwendelee unaweza kufungua daka ila jirani yako akawa anauza sana nawewe kila siku ukaishia kupata hasaratu kilaunapopata pesa hazikai kilasiku majanga ndugu dalili hizo nimbaya sana kwenye maisha yako
 
Wachawi na walozi ni watu wasenge sana,ukimjua ni kumpiga panga.katoto kangu kazuri walikuwa wanakapiga uchawi
kalikuwa kanaumwa tumbo na kutapika ,ile hali ilikuwa kakitoboa mwezi mmoja unaofata basi mjiandae ,mnapewa kitanda mnakaa hadi siku 4 hospital .Dk mpaka wanaumiza kichwa dozi inakata ila dogo bado ngoma nzito.
kesi imejirudia kama mara 3,ile imetokea mara ya 4 kuna ndugu akanimbia twende mahala.dodgo akapewa dawa akanywa pale na uji ile hali ilipotea mzee akanichana mtoto alipigwa uchawi
 
Poke sana bro, kuna fala atakwambia uchawi haupo
 
sikuwa naamini uchawi kwa maana sehemu niliyozaliwa na kukulia idadi ya uchawi na wachawi haikuwa kubwa au labda hatukuwa na kitu cha maana tulikuwa tunamiliki kama familia.
ukitaka kujua mambo ya uchawi na ulozi nenda kajenge pembeni ya mji huko ukute wazawa wa pwani na Kusini
 
KING MIDAS eeh
Week iliyopita nilifua sasa katika kuanua nguo nikasahau chupi yangu na nikawa nimesafiri leo ndo narudi nagundua chupi yangu niliisahau nje
Na jamii ya waty nnao ishi nao siwaamini je nifanyeje?.m naogopa wasije wakawa wametoa uzi😒
 
Acha kuvaa chupi
 
watu wanawaza kurusha Satellite wewe unawaza kurogana tu

Kemeea
Katekaaa Jeeena la Yesooooo
Pegeea Yesoo Makofeeee
 
Back
Top Bottom