Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,683
- 22,269
Zanzibar inaserikali mbili, yamuungano na ya mapinduzi, serikali ya muungano Rais wa jamuhuri huteua wakuu wa wilaya wa mikoa yote ya Tanzania, sasa Rais wa Zanzibar naye anateua wakuu wake wa wilaya, je, Zanzibar itakuwa na wakuu wa wilaya wawiliwawili? Nakuomba mwanasheria Pascal Mayala unifafanulie.