Uteuzi Zanzibar: Rais Mwinyi ateua Wakuu wa Wilaya

Zanzibar ni ndogo sana...ukubwa wa wilaya ni sawa na kata kwa huku kwetu bara
 
Hivi Zanzibar ina wilaya 10 tu?
Zanzibar's 2020 population is now estimated at 705,078. In 1950, the population of Zanzibar was 53,530. Zanzibar has grown by 28,264 since 2015, which represents a 4.18% annual change. These population estimates and projections come from the latest revision of the UN World Urbanization Prospects. These estimates represent the Urban agglomeration of Zanzibar, which typically includes Zanzibar's population in addition to adjacent suburban areas.

Noted is that:-
Mkoa wa Kagera una wilaya saba huku idadi ya watu wakiwa takriban 2.3M - sasa kwa nchi yenye wakazi laki nane duu iwe na wilaya ngapi?
 
Alikuwa KMKM Cheo chake ni Commander (CDR) ni sawa na Luteni kanali.
KMKM = Kikosi Maalum Kuzuia Magendo. Sio kamandi ni kikosi cha SMZ.
Naelewa vizuri sana. Ila nakupa taarifa alikua mkuu wa Kamandi ya hicho kikosi mkuu
 
Nadhani alikuwa wa Nkasi kipindi hicho akiwa CDM - ni dhahiri kwamba nchi ile ina watu wachache sana
Hahahaha hadi walitaka kumpiga nje ya Bunge wabunge wa Zanzibar alikua na mdomo mchafu sana kwamba yeye jimbo lake ni kubwa ila mbunge wa Jimbo moja la Zanzibar akitaka kukutana na wananchi wake anapiga filimbi tu na wote wanasikia wanakusanyika
 
Zanzibar's 2020 population is now estimated at 705,078. In 1950, the population of Zanzibar was 53,530. Zanzibar has grown by 28,264 since 2015, which represents a 4.18% annual change. These population estimates and projections come from the latest revision of the UN World Urbanization Prospects. These estimates represent the Urban agglomeration of Zanzibar, which typically includes Zanzibar's population in addition to adjacent suburban areas.

Noted is that:-
Mkoa wa Kagera una wilaya saba huku idadi ya watu wakiwa takriban 2.3M - sasa kwa nchi yenye wakazi laki nane duu iwe na wilaya ngapi?
Hiyo ni Wilaya hata siyo nchi
 
Back
Top Bottom