Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya

Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya

Nyie hamjui jinsi inavyoumiza. Babu Tale anakuwa Mbunge halafu pascal anakosa Ubunge? Inauma sana. Kila nikifikiria huwaga nina lia. Inaniuma sana.
 
Paso anaunga mkono uteuzi, sasa hivi kahamishia makazi twita🤣
SmartSelect_20210301-085136_Twitter.jpg


SmartSelect_20210301-085200_Twitter.jpg
 
Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi(CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.

Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Afadhali na aishie huko kabisa. Siku hizi P. is a nuisance. It's much better without him. Sijajua ni frustrations za wale wajumbe au balaa gani jingine. Au Gwajima kampeleka Monaco kula kuku kwa mrija?
 
Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.

Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Mpuuzi Kama wapuuzi wengine
 
Back
Top Bottom