Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,180
- 29,911
Pascal Mayalla commited a cardinal sin.Mayalla kaamua kususa kujikomba maana ni takribani miaka 5 anajikomba tu wakati wateuzi wakiendelea kuwapa ulaji MATAGA wengine yeye wana mfanyia mchezo wa wahaya yaani wa MUPE MURUKE.
Kumuuliza kaswali mheshimiwa JPM chenye kiashiria cha kumweka mtegoni.
JPM huwa hasahau watu waliomuweka matatizoni au kumpinga.