wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,494
- 29,282
Age go. labda baloziNilidhani Mayalla naye kala uteuzi!
Age go. labda baloziNilidhani Mayalla naye kala uteuzi!
We unafikiri tangu amuulize Rais swali ngumu vile Rais alifurahia?Mayalla kaamua kususa kujikomba maana ni takribani miaka 5 anajikomba tu wakati wateuzi wakiendelea kuwapa ulaji MATAGA wengine yeye wana mfanyia mchezo wa wahaya yaani wa MUPE MURUKE.
Angerudi inbox kwa mzee akaombe msamaha...japo jiwe naye angekuja public kusema kaombwa msamahaKinacho mponza Mayalla ni lile swali siku ya kwanza alipo itwa kuwa Mayalla ni njaa
Daaa Mayalla sasa kaamua kama mbwai wacha iwe mbwaaaiiiWe unafikiri tangu amuulize Rais swali ngumu vile Rais alifurahia?
Lkn siunajua kwa wote ni kanda yetu pendwa?Angerudi inbox kwa mzee akaombe msamaha...japo jiwe naye angekuja public kusema kaombwa msamaha
Nasikia yuko Mwanza anaendesha Cafe za kupiga nyungu.Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi(CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
InafahamikaLkn siunajua kwa wote ni kanda yetu pendwa?
Natamani ningekuwa kanda hiyoInafahamika
Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi(CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Wewe inakuhusu nini. You making this thing personal. Mayala ana uhuru wa kuandika jinsi anavyotaka na kwa wakati anaotaka. Kama hana cha kuandika unataka aandike nini.Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi(CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Unajuaje kama halipwi. Kama unataka na wewe ulipwe si uulize namna ya kupata kazi za ku"influence thinking and thinkers". Wewe wakati zilitangazwa ulikuwa wapi? Lbada ungoje waliyoteuliwa wastaafu ili na wewe upate kanafasi ama sivyo aangalia usawa wa ungo mtupie mmoja au wawili jini au corona. Wakiondoka wahi kuomba.Kasusa na hata ingekuwa wewe lazima ungesusa ... huwezi imbisha pisi miaka 6 huku wenzio wakila bila jasho
Yale ni magamba(deraa)sio magwanda yale kamwee!.Matiko yupo ccm na Mimi kamwe siwezi hata kugusa migwanda yenu ya laaana
Mayala hajipendekezi kwa mtu yeyote. Mawazo na hoja zake zinawakera kwa sababu zina nguvu na mnashindwa kuzipangua. Nafikiri na ninyi mnajipendekeza upinzani kuonyesha nyie ndiyo watetezi mahiri wa upinzani. Mimi nilikuwa naamini kuwa hayo ni mawazo yenu, lakini mnapoanza kuwa personal, naona Mayala kawashinda kwa hoja, sasa mnakimbilia matusi. Na hapo pia mtashindwa kwa sababu he is not going to stoop that low as you have done.Unafiki wa kujipendekeza kwakwe kwa chama cha zamani ni laani kwake
Yumo humu hata kwenye huu Uzi,ila kwa I'd tofauti na Mayalla,we tafuta I'd yenye herufi tatu ndio yeye.imeanzia na k.Hivi hakuna mwenye namba yake tumpigie?
Hii ndo sababu tosha.... Lile swali lilikuwa gumu.... Na ndo maana magu alizugaHivi Pascal yupo duniani? simsikii kabisa ingawa hapa kwangu nilim-block. Bado mateuzi ni mengi atapata, msukuma mwenzangu. Lakini Magu kwa visasi lile swali la mamlaka unayapata wapi, linam-cost!