Uteuzi wa Biswalo ni kutonesha kidonda cha Umma, lakini akapumzike salama

Ifike mahala sasa, tusikubali viongozi wetu ambao wanajitoa kufanya kazi kwa moyo mmoja wachafuliwe kirahisi rahisi hivi.

tumeshuhudia tabia hii imeshamiri kwa kasi kubwa sana mara baada ya hayati JPM kuaga dunia!! hili halikubaliki na wala lisifumbiwe macho, tumeona maneno na kashifa nyingi zikitolewa kwa viongozi wetu wajuu, tuhuma za kizushi, majungu na fitina, hii si sawa.

mamlaka zinazo husika chukueni hatua, kwa nini mnaachilia watu wanachafuliwa tu, kutokana na chuki binafsi!!

kazi aliyo ifanya DPP ni ngumu sana ambayo hata angekuwa mtu yoyote yule lazima upate maadui wengi tu, ni sawa na kazi ya Ujaji au Uhakimu kamwe huwezi kupendwa na watu wote lazima wapo wengi watakuchukia kutokana na aina ya kazi yako kuwa huwezi kuwaridhisha watu wote na haswa kama unamsimamo na unasimamia sheria kikamilifu.

Biswalo ni mtu alijitolea kufanya kazi zake kwa uaminifu wa hali ya juu na kutokana na uadilifu wake wapo ambao walitaka kumtoa kwenye msimamo na walishindwa, sasa nadhani ndio wakati wao wa kupiga majungu na kumfitini ilimradi achafuke ili wapate ushindi.

kamwe Rais wetu asiingie kwenye mtengo na kuwasikiliza watu wenye chuki zao binafsi.
 
Huu upumbavu uwe unausema ukiwa chumbani kwako....
 
Mkuu pole sana kwa yote uliyopitia katika utawala wa Mwendazake. Mungu akujaalie afya njema
 
Katika kesi zote hizo sita ulikua unasingiziwa tu au Kuna makosa ulikua ukiyafanya??

Kuwa mkweli,

ingawa sitarajii kwamba utasema ukweli.
 
Hivi Ile Kesi Waliyosema Cdm wanaifungua Ili Biswalo Mganga asiapishwe Ilishafumguliwa Mahakama Kuu?
 
Back
Top Bottom