Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,300
- 2,716
Hao ndio wanacoordinate masuala husika mfano Diplomasia huyo anauwezo hata wa kusikiliza na kutafuta maoni toka kwa wabobezi waliopo wizarani, vyuoni mfano masuala ya Afrika anaweza kumconsult Kibamba toka pale kurasini chuo cha diplomasia akapata insights halafu akazihitimisha akampa bosi wake,With all due respect madame President, Mbona wasaidizi wengi?mi nirifikiri wasaidizi/washauri wako ni mawaziri?mbona unatengeneza mavyeo Mengi?
Hivi vyeo viliuwepo awamu zilizopita?
Mfano unawaziri wa mambo ya nje,anayesimamia diplomasia,harafu unateua Mshauri/msaidizi wa mambo ya kidiplomasia,sasa hapa ushauri wa nani utazingatiwa?
Hizi nafasi zinahitaji watu wenye uweledi wa hali ya juu sana. Wengine hapo hatuwafahamu ingependeza mngeweka Cv kwa mbali. Kuna mtoto mdogo hapo kamaliza Usiu university kenya naona kalamba shavu kubwa.