britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,644
- 30,007
Rais kateua
Nasubiri Uteuzi Kwa LowassaBado mimi,nasubiri uteuzi patiently
Msuya mwenyewe kachoka anaumwa.Hivi ccm hakuna kustaafu?Rais kateuaView attachment 1241877
Chezea ccm wewe, mbona kuna marehemu walipiga kura kuchagua ccm?Msuya mwenyewe kachoka anaumwa.Hivi ccm hakuna kustaafu?
VIJANA mjiajiri, serikali haina nafasi za kuwapa ninyi, naombeni mjiajiri.Rais kateuaView attachment 1241877
anataka walau kila siku agonge headlinesHakuna jipya. Not even newsworthy.
Ana obsession na publicityanataka walau kila siku agonge headlines
HUWA hawaapishwi.Hongera zake.Anaapishwa lini sasa?
Pinda alitumwa China kumuwakilisha mtukufu kwenye maazimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa Taifa.Teuzi haziji hovyo hovyo siku hizi, especially kwa wastaafu. Huyu atakuwa hana mwasho.😀 Niliskia Pinda akisifiwa sana vilevile.