Uteuzi: Rais Magufuli amteua Mzee Cleopa David Msuya kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Rais kateua
IMG-20191023-WA0081.jpg
 
Mimi nikiteuliwa nitafurahi nikitenguliwa sijui itakuwaje
Rais sikia kilio changu niteue na mimi nipate walau ka-CV tu
 
CCM ni ile ile viongozi ni wale wale, wapinzani wanasemaje ............................................ (malizia mwenyewe) RIP JOHN KOMBA
 
Mkuu wa chuo huwa ni cheo kama cha picha tu vile,sio mtendaji kabisa.Mzee msuya hongera kwa tittle hii.Kazi yako ni wakati wa mahafali tu ,kuwapa shahada zao wahitimu
 
Nadhani n utaratibu wa baadhi ya nchi za Afrika Mashariki.Hata Kenya nliona vijana wanalalamika baada Rais Uhuru kuteua wazee kwenye taasisi na mashirika ya umma.
 
Huu uteuzi ulifanyika siku nyingi ila umetangazwa leo ili kuzuga..

Alisika Pumbavu mmoja aitwae kigogo toka Twitter
 
Teuzi haziji hovyo hovyo siku hizi, especially kwa wastaafu. Huyu atakuwa hana mwasho.😀 Niliskia Pinda akisifiwa sana vilevile.
Pinda alitumwa China kumuwakilisha mtukufu kwenye maazimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa Taifa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom