Kila mtu na ulevi' wake. Jakaya alikuwa 'mlevi wa safari na ndege, huyu uteuzi,kutumbua na kuapisha'
Alafu wakati wa kuapisha' dola na mihili yote huwa pale. Makamu Rais,Waziri mkuu,Jaji mkuu,Spika,naibu spika,wakuu wa vyombo vya usalama,mawaziri,manaibu,wakuu wa mikoa,katibu kiongozi.n.k
Kiusalama sio vizuri lakini hawa watu hawapati muda wa kufuatilia utendaji na kazi zao maofsini kwao na pia gharama za vyakula,usafiri n.k
Kiusalama sio vizuri kivipi?,tuambie maoni yako wewe Bin LadenKila mtu na ulevi' wake. Jakaya alikuwa 'mlevi wa safari na ndege, huyu uteuzi,kutumbua na kuapisha'
Alafu wakati wa kuapisha' dola na mihili yote huwa pale. Makamu Rais,Waziri mkuu,Jaji mkuu,Spika,naibu spika,wakuu wa vyombo vya usalama,mawaziri,manaibu,wakuu wa mikoa,katibu kiongozi.n.k
Kiusalama sio vizuri lakini hawa watu hawapati muda wa kufuatilia utendaji na kazi zao maofsini kwao na pia gharama za vyakula,usafiri n.k
Siku likitokea ndo mtajua Bina la Deni au Bin la Mkopo.Kiusalama sio vizuri kivipi?,tuambie maoni yako wewe Bin Laden
Hii ni roho ya kwaniniHatimae waraka wa Ponda umeanza kufanyiwa kazi.
Naona majina ya wale ndg zetu yameanza kujitokeza kwny teuzi.
Hahaha hao wote uliowataja hawana kazi za kufanya, ndio maana unaona kutwa kucha wanaandamana na rais.Kila mtu na ulevi' wake. Jakaya alikuwa 'mlevi wa safari na ndege, huyu uteuzi,kutumbua na kuapisha'
Alafu wakati wa kuapisha' dola na mihili yote huwa pale. Makamu Rais,Waziri mkuu,Jaji mkuu,Spika,naibu spika,wakuu wa vyombo vya usalama,mawaziri,manaibu,wakuu wa mikoa,katibu kiongozi.n.k
Kiusalama sio vizuri lakini hawa watu hawapati muda wa kufuatilia utendaji na kazi zao maofsini kwao na pia gharama za vyakula,usafiri n.k
Kazi inaendelea. Rais wetu kama ni kuteua na kutumbua Kweli kafanikiwa.
Yupo yupo, he doesn’t know what he needs
Kazi inaendelea. Rais wetu kama ni kuteua na kutumbua Kweli kafanikiwa.
Hizi teuzi kila uchwao ndiyo zinapagawisha watu kukimbilia kuchukua fomu za ubungee, wakiamini watajulikana na mkuu na hatimaye kupata uteuzi.
Jamaa anazidi kukimbiwaa
5 years down the line meko anaendelea kuteua na kutumbua tu. Sitashangaa mataga wakisema moja ya mafanikio ya sirikali ya awamu ya tano ni uteuzi na utumbuaji.
Mzee Hana "first eleven"
Hongera sana Mh Magufuli kwa kuanza kubalansi uteuzi zako sasa utakuwa Rais wa sote sio wakristo wenzako tu. ni vizuri kujua Mh Rais unayofanya yana athari kwa kila raia wako. Binafsi mada hii ya uteuzi nimeishikia bango sana kwa maslahi mapana ya taifa na sifa bora za Magufuli ambae he need to purify himself! Go go Magufuli ondokana na udini Mkulu sio sifa njema
Mwinyi anaondoka na Mwinyi anaingia Sasa sijajua sheikh Ponda kashauri hivyoNaona kazi ya sheikh Ponda imeanza kuzaa matunda