Uteuzi: Rais Magufuli amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1595063810113.png
 
Kila mtu na ulevi' wake. Jakaya alikuwa 'mlevi wa safari na ndege, huyu uteuzi,kutumbua na kuapisha'
Alafu wakati wa kuapisha' dola na mihili yote huwa pale. Makamu Rais,Waziri mkuu,Jaji mkuu,Spika,naibu spika,wakuu wa vyombo vya usalama,mawaziri,manaibu,wakuu wa mikoa,katibu kiongozi.n.k

Kiusalama sio vizuri lakini hawa watu hawapati muda wa kufuatilia utendaji na kazi zao maofsini kwao na pia gharama za vyakula,usafiri n.k
 
Hatimae waraka wa Ponda umeanza kufanyiwa kazi.

Naona majina ya wale ndg zetu yameanza kujitokeza kwny teuzi.
 
Kila mtu na ulevi' wake. Jakaya alikuwa 'mlevi wa safari na ndege, huyu uteuzi,kutumbua na kuapisha'
Alafu wakati wa kuapisha' dola na mihili yote huwa pale. Makamu Rais,Waziri mkuu,Jaji mkuu,Spika,naibu spika,wakuu wa vyombo vya usalama,mawaziri,manaibu,wakuu wa mikoa,katibu kiongozi.n.k

Kiusalama sio vizuri lakini hawa watu hawapati muda wa kufuatilia utendaji na kazi zao maofsini kwao na pia gharama za vyakula,usafiri n.k

Nchi hii ni tajiriiii ina mapesa mengi saaaaana.
 
Hizi teuzi kila uchwao ndiyo zinapagawisha watu kukimbilia kuchukua fomu za ubungee, wakiamini watajulikana na mkuu na hatimaye kupata uteuzi.
 
Kila mtu na ulevi' wake. Jakaya alikuwa 'mlevi wa safari na ndege, huyu uteuzi,kutumbua na kuapisha'
Alafu wakati wa kuapisha' dola na mihili yote huwa pale. Makamu Rais,Waziri mkuu,Jaji mkuu,Spika,naibu spika,wakuu wa vyombo vya usalama,mawaziri,manaibu,wakuu wa mikoa,katibu kiongozi.n.k

Kiusalama sio vizuri lakini hawa watu hawapati muda wa kufuatilia utendaji na kazi zao maofsini kwao na pia gharama za vyakula,usafiri n.k
Kiusalama sio vizuri kivipi?,tuambie maoni yako wewe Bin Laden
 
Kila mtu na ulevi' wake. Jakaya alikuwa 'mlevi wa safari na ndege, huyu uteuzi,kutumbua na kuapisha'
Alafu wakati wa kuapisha' dola na mihili yote huwa pale. Makamu Rais,Waziri mkuu,Jaji mkuu,Spika,naibu spika,wakuu wa vyombo vya usalama,mawaziri,manaibu,wakuu wa mikoa,katibu kiongozi.n.k

Kiusalama sio vizuri lakini hawa watu hawapati muda wa kufuatilia utendaji na kazi zao maofsini kwao na pia gharama za vyakula,usafiri n.k
Hahaha hao wote uliowataja hawana kazi za kufanya, ndio maana unaona kutwa kucha wanaandamana na rais.

Wao wana vyeo lakini hawana kazi, ndio maana unaona kila mtu leo anataka kuwa mwanasiasa.
 
5 years down the line meko anaendelea kuteua na kutumbua tu. Sitashangaa mataga wakisema moja ya mafanikio ya sirikali ya awamu ya tano ni uteuzi na utumbuaji.

Mzee Hana "first eleven"
 
Hongera sana Mh Magufuli kwa kuanza kubalansi uteuzi zako sasa utakuwa Rais wa sote sio wakristo wenzako tu. ni vizuri kujua Mh Rais unayofanya yana athari kwa kila raia wako. Binafsi mada hii ya uteuzi nimeishikia bango sana kwa maslahi mapana ya taifa na sifa bora za Magufuli ambae he need to purify himself! Go go Magufuli ondokana na udini Mkulu sio sifa njema
 
Akina Mwinyi mwaka huu watafurahi. Ila naona watu wanazidi kumkimbia meko ajifikirie huwa mapinduzi yanaweza kusababishwa na inzi.
Kazi inaendelea. Rais wetu kama ni kuteua na kutumbua Kweli kafanikiwa.
Hizi teuzi kila uchwao ndiyo zinapagawisha watu kukimbilia kuchukua fomu za ubungee, wakiamini watajulikana na mkuu na hatimaye kupata uteuzi.
Jamaa anazidi kukimbiwaa
5 years down the line meko anaendelea kuteua na kutumbua tu. Sitashangaa mataga wakisema moja ya mafanikio ya sirikali ya awamu ya tano ni uteuzi na utumbuaji.

Mzee Hana "first eleven"
Hongera sana Mh Magufuli kwa kuanza kubalansi uteuzi zako sasa utakuwa Rais wa sote sio wakristo wenzako tu. ni vizuri kujua Mh Rais unayofanya yana athari kwa kila raia wako. Binafsi mada hii ya uteuzi nimeishikia bango sana kwa maslahi mapana ya taifa na sifa bora za Magufuli ambae he need to purify himself! Go go Magufuli ondokana na udini Mkulu sio sifa njema
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom