The Mockingjay
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 380
- 121
Mpendwa mbona umekasirika tena? ntawasiliana na wewe haina shida ndugu yangu, usiwe mkali kiasi hicho mkuu. nahitaji zaidi msaada wako.Bibie kamsongole Kama dawa zangu ni za majaribio bora ungelimaliza matatizo yako hospitali si wameshasema kuwa uodolewe kizazi? unagopa kitu gani tena ? wakati ndio uzima wako huo kuondolewa kizazi unaogopa kitu gani tena?shauriana na mume wako uondolewe hicho kizazi.
Bado haijajulikana nini hasa kinachosababisha fibroids.
Ila wasichana wengi sana wanazo bila kujifahamu.
Fibroid huzidi kukua jinsi msichana anapochelewa kuzaa.
Fibroids hatari yake ni position iliyopo. Kama ipo kwenye nyumba au njia ya uzazi lazima itolewe au la itaharibu au kuzuia mimba. Siku hizi kuna technology ya minimum invasive surgery ambayo itatoa fibroid bila kuharibu kizazi.
Fibroids zingine zinasababisha heavy periods.
Tena daktari mzuri atashauri utumiaji wa contraceptive ili kuzuia kasi ya kukua kwa fibroids.
Fibroids zingine huwa hazina madhara kabisa depending on position na inashauriwa kuziacha kama zilivyo.
All the best my sister. I hope you get the best help and be able to conceive.
Ni kweli kabisa mimi nilipatwa na tatizo hili nilihangaika sana kwa madaktari mbali mbali hadi nilifika hadi kwa waganga wa kienyeji na nikajikuta ninaokoka maana tatizo likawa serious sana ila madaktari wengi wa magonjwa ya wanawake wa muhimbili,aghakan,na pale dar group waliniambia nipate mimba tatizo ndo nilikuwa nasoma ila tatizo lilizidi sana kunitesa na kila nikienda hospitali utrasound inaonesha uvimbe unaendelea kukua.Ikanibidi nijitwishe mzigo wa mimba nikiwa bado nasoma chuo,cha ajabu kipindi chote cha mimba maumivu yale makali yalitoweka hadi leo naitwa mama fulani sijawahi kuexperience tena uwepo wa uvimbe na sikutaka kwenda kupiga hizo utra sound zao maana niliteseka sana.So jamani mimba iliplay miracle fulani hivi kwenye huu ugonjwa ila niliumia kwa kuwa mwanangu sikumzaa ndani ya ndoa.
sioni sababu ya mwenza wako kutaka kukuacha kwa ajili ya hizo MYOMA,zipo aina tofauti za myoma na dawa yake kubwa ni kuzitoa.
inategemea na aina ya myoma uliyonayo,kwa mfano,kama myoma zako zipo nje ya uzazi ni rahisi sana kuzitoa na wala huitaji kutoa kizazi hata kama unamyoma ambazi zipo ndani ya mfuko wa uzazi,bado zinaweza kutolewa ingawaje operation yake ni ngumu kidogo na ndio maana madaktari wengi wa kiafrika hukimbilia kutoa kizazi.
kama ungekuwepo uchina,ungepata maajabu ya wachina,wanazitoa hizo myoma bila shida na baada ya siku 7 unaweza tembea mitaani huku ukisubiri miezi 6 hadi miaka 2 kupata mtoto.
naomba nikupe pole kwa hilo linalokusibu na usikate tamaa,wachina wanazo dawa za kuzinyausha huku ukijaribu kutafuta mtoto,na akipatikana basi wakati wa kujifungua huzitoa hizo myoma.
kikawaida huwezi kuzimaliza myoma ni hadi pale utoe kizazi,waliowengi wanachokifanya ni kuzitoa na kupata mtoto na baada ya hapo hutoa kizazi.
Hongera kwa kupona na hongera sana kwa kupata mtotoNi kweli kabisa mimi nilipatwa na tatizo hili nilihangaika sana kwa madaktari mbali mbali hadi nilifika hadi kwa waganga wa kienyeji na nikajikuta ninaokoka maana tatizo likawa serious sana ila madaktari wengi wa magonjwa ya wanawake wa muhimbili,aghakan,na pale dar group waliniambia nipate mimba tatizo ndo nilikuwa nasoma ila tatizo lilizidi sana kunitesa na kila nikienda hospitali utrasound inaonesha uvimbe unaendelea kukua.Ikanibidi nijitwishe mzigo wa mimba nikiwa bado nasoma chuo,cha ajabu kipindi chote cha mimba maumivu yale makali yalitoweka hadi leo naitwa mama fulani sijawahi kuexperience tena uwepo wa uvimbe na sikutaka kwenda kupiga hizo utra sound zao maana niliteseka sana.So jamani mimba iliplay miracle fulani hivi kwenye huu ugonjwa ila niliumia kwa kuwa mwanangu sikumzaa ndani ya ndoa.
Bibie kamsongole Sijakasrika wewe unavyosema Dawa zangu ni za kujaribia umejuaje kama Dawa zangu ni za majaribio? Mimi ninataka kukusaidia wewe unaleta maneno yako ya dharau kwanini?Hizo Dawa zangu za Majaribio zimewasaidia wengi humu humu ndani waulize waliotumia Dawa zangu watakwambia je Dawa zangu ni za Majaribio au sio ya majaribio?Mpendwa mbona umekasirika tena? ntawasiliana na wewe haina shida ndugu yangu, usiwe mkali kiasi hicho mkuu. nahitaji zaidi msaada wako.
Mkuu gpesha2002 Kwanini unasema sina hisia za kibinadamu ? ulijuaje kama mimi sina hisia za kibinadamukwanini? Ninakuomba unijibu swali langu hilo?Huyu sio mpendwa ni mzizimkavu kama jina lake sisemavyo yy ni mzizi na nimkavu hana hisia za kibinahadamu na hajui faraja ya mwanamke kuwa na mtoto..ww wakikutoa pumbu na haujazaa utajiskiaje?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hongera kwa kupona na hongera sana kwa kupata mtoto
swali la kizushi, hapo RED iliwezekanaje? lol!
mwenzio utani umenizidi kwa hiyo usinijali.....
mdogo wangu snowhite njoo ukinge kifua pande hizi
e=advertising. Nimeipenda hii-nimekupa likeMkuu BAK Mimi nikampa dawa yangu hawezi tena kufanyiwa Operesheni Uvimbe wote utapotea kwa muda usiopunguwa mwezi mmoja inshallah akitumia dawa yangu ila siwezi kumpa hapa mpaka anitumie email.
Fibroids rarely cause infertility. Nakushauri uonane na Daktari bingwa(gynecologist).Kuna njia nyingi za kutibu uvimbe wa kwenye kizazi, na sio lazima utolewe kizazi.Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.
he heeee, hapo kwenye RED "kichaa kapewa rungu", utakomaje sasa kwa maswali! umbea hauna posho, ila sababu unatoka kwa owner, nina uhakika hakuna kusutwa wala kuomba msaada toka kwa baunsa wa ukoo snowhite, lol!Yaani mpendwa wangu hii ni story kubwa sana kwenye maisha yangu labda kwa vile umeonesha kuwa interested na story yangu ngoja nikujibu angalau kidogo maswali yako.
Tukianza na red quote ya kwanza huu uvimbe ulinisumbua sana hadi nikapitia kwa madaktari wengi mno katika matatizo mtu anapitia vingi sana nikajikuta nimearikwa kumpokea Yesu kama wasemavyo warokole na kuhusu kumzaa mwanangu nje ya ndoa ilikuwa hivi,
Tatizo limenianza nikiwa form five mwishoni shule moja hapa nchini nilikuwa nachukua PCB ilikuwa uvimbe ukichachamaa ulinipeleka hadi kulazwa swala hili lilinidhuru sana masomo ila madaktari walikuwa wananiambia ungekuwa umeolewa uamuzi mzuri ungepata mimba ili tatizo hili tucheki kama litatoka maana wengi tumewasaidia kwa mtindo huu,Ki ukweli nilikuwa simjui mwanaume na sijawahi kuduu jumlisha na uanafunzi basi hali ikazidi kunichanganya ila nilikuwa na mpenzi wangu ambaye alikuwa best wangu wa karibu tangu shule ya msingi ambaye tuliwekeana kiapo eti tuvumiliane mpaka ndoa ndipo tufanye.
Kwa kufupisha story niliporudi Dar nimemaliza form 6 uzalendo ukanishinda kwa maana nilikuwa supastar kwa madaktari bingwa wa wanawake hapa nchini coz nilisafiri hadi mikoani kuwafuata hao madaktari ,bahati mbaya wazazi walijikuta wananipeleka hadi kwa hawa waganga wa kienyeji in shorty niliteseka sana japokuwa mwisho wa siku nikamuomba dia wangu tufanye tu maana sikuwa na jinsi nilishachoka kwa kumeza madawa na masindano,ki ukweli nilijikuta siogopi mimba kama nilivyokuwa naiogopa zamani na hii ilitokea pale nikiwa mwaka wa kwanza tatizo lilizidi sana hadi madokta wakasema nikichelewa sitaweza kupata mtoto tena ,nikaona isiwe tabu nikaongea na boyfriend wangu nae alikuwa mwaka wa kwanza enzi hizo ila sio chuo kimoja kwa mara ya kwanza aliogopa ila nakili kusema nilimlilia anipe mimba aisee ili nione kama tatizo langu litapona maana nilishachoshwa na maswala ya kulazwa huku nasoma masomo ya injinia CoeT.Aisee mpendwa FP nilteseka sana enzi hizo na hii ni painfull story yangu ya maisha pia jisikie huru kwa kuniuliza maswali mengine coz nimefupisha sana.Pili nisamehe kwa kuindika vibaya vibaya maana nimechoka sana hapa nilipo na usingizi.Ila karibu sana
Mwanamalundi si lazma ucomment km hauna ushaur unapta kmya kmya c watu wako serious we unapayuka tu ujisikiacho unaboreYamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!
mwanzoni ilikuwa na ukubwa wa sm 7.4, nilipoenda kupima tena mwaka huu nikakuta ina ukubwa wa sm 5.3. Ila madaktari walisema inabidi mume wangu naye akapime ili wajue shida ni nini maana walisema uvimbe umekaa kwenye kuta na uwezekano wa kupata mtoto upo. Hapo ndipo tulipo kwama maana mwenzangu kupima hataki.Fibroid uliyonayo ina saiz (size) gani kwa sasa ?