Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Mkuu ninauzoefu wa kutengeneza sabuni za mi che. Soko lipo kubwa mmno.kwani viwanda havikidhi mahitaji ndio sababu bado tuna import sabuni.

Machine ya kutengeneza sabuni -Ploder ni milioni7,ya kukata chips milioni1, na clutcher ya kupikia sabuni ni around 3millioni, ila unaweza kuanzia kupika ktk mapipa ya lita200 (siyo kazi rahisi kutumia mapipa)
hivyo unahitaji around milioni11 kwa ajili ya equipment.

tatizo ni Mali Ghafi. mafuta ya kutengeneza sabuni yanatoka nje ya nchi, hivyo yanaagizwa na viwanda vikubwa, viwanda vidogo wananunua kwa dili kutoka kwa madalali.
kuna mafuta ya mise yanatoka mbeya, na kigoma haya ni rahisi ila kama upo dar gharama ya usafiri ni kubwa.\

competitors
Sabuni ya kiwanda kidogo huwa na ubora zaidi ktk maji ya chumvi/kisima ambayo ndio maji yanayotumika na Watanzania wengi, sabuni za viwanda vikubwa huwa zimechujwa sana (highly refined and processed oils )hivyo hazifai ktk maji ya visima.

Watengeneza sabuni za mikono kutoka kigoma huwa wanamwaga sabuni nyingi ktk soko la DAr, wanarudi a month later kuchukua pesa, hivyo jiandae kushindania nao.

Viwanda vikubwa sabuni zao zinapendwa mjini e.g Dar, Arusha na Mwanza ambako kuna maji ya bomba,hivyo tarajia soko la mikoani na vijijini.

ili uwafikie hawa wateja inabidi uunde distribution network ya whole sellers,pale manzese kuna maduka ya wapemba ya whole sale ukiwapelekea mzigo wanakulipa hapo hapo,wao huwa wanawauzia watu wanaopeleka bidhaa za maduka mikoani.e.g pruduct yangu nilikuwa siioni madukani in Daresalaam.

Nilipodadisi nikagundua ipo very popula in Kibaigwa dodoma.so nikisupply mzigo jamaa wanaotoka dodoma hawanunui kitu kingene zaidi hiyo sabuni.
------------------------
kama utafungua kiwanda mitaani na siyo ktk industrial zone e.g pugu road,epza :)
jinpange kupambana na TFDA,bora ya TBS
Afisa biashara
TRA
mwen
yekiti wa serikali za mtaa.

Packaging ya product yako ni muhimu sana,ndiyo maana wachina wanauza vitu vyao kwa wingi wao wanajua packaging and presentation nzuri za quality.

kwa sabuni ya mche ni kutengeneza mabox.nenda pugu road kiwanda kinaitwa Commercial printers wao wanabei nzuri na ni wazoefu kwa ajili ya SME s wenye viwanda vidogo.watakufanyia design ya box,inabidi uende na miche yako ili wawe na uhakika wa vipimo vya carton.

kwa ushauri zaidi wa michanganuo ya biashara na faida muone BABALAO atakushauri vizuri zaidi mpaka jinsi ya kupata mkopo. :)

Mkuu asante sana kwa maelezo. Ni muda mrefu nimekuwa nikijaribu kutengeneza sabuni lakini nashindwa, huwa zinatoka zikiwa ngumu sana na zinachubua mikono au wakati mwengine zinakuwa laini sana, nikitafuta formula za utengenezaji wa sabuni ktk mitandao hazinipi ratio ya kiasi cha mafuta na sabuni, mwishowe nikaamua kuachana na mradi wa kutengeneza sabuni. Lakini kwa maelezo haya nimehamasika na nafikiria kuanzisha tena, nitakutafuta wakti utakapowadia
 
Karibu tutashare knowledge :usa2:
Mkuu asante sana kwa maelezo. Ni muda mrefu nimekuwa nikijaribu kutengeneza sabuni lakini nashindwa, huwa zinatoka zikiwa ngumu sana na zinachubua mikono au wakati mwengine zinakuwa laini sana, nikitafuta formula za utengenezaji wa sabuni ktk mitandao hazinipi ratio ya kiasi cha mafuta na sabuni, mwishowe nikaamua kuachana na mradi wa kutengeneza sabuni. Lakini kwa maelezo haya nimehamasika na nafikiria kuanzisha tena, nitakutafuta wakti utakapowadia
 
Mkuu ninauzoefu wa kutengeneza sabuni za mi che. soko lipo kubwa mmno.kwani viwanda havikidhi mahitaji ndio sababu bado tuna import sabuni.
Machine ya kutengeneza sabuni -Ploder ni milioni7,ya kukata chips milioni1 ,na clutcher ya kupikia sabuni ni around 3millioni, ila unaweza kuanzia kupika ktk mapipa ya lita200(siyo kazi rahisi kutumia mapipa)
hivyo unahitaji around milioni11 kwa ajili ya equipment.

tatizo ni Mali Ghafi. mafuta ya kutengeneza sabuni yanatoka nje ya nchi ,hivyo yanaagizwa na viwanda vikubwa ,viwanda vidogo wananunua kwa dili kutoka kwa madalali.

kuna mafuta ya mise yanatoka mbeya,na kigoma haya ni rahisi ila kama upo dar gharama ya usafiri ni kubwa.\

competitors
Sabuni ya kiwanda kidogo huwa na ubora zaidi ktk maji ya chumvi/kisima ambayo ndio maji yanayotumika na watanzania wengi,sabuni za viwanda vikubwa huwa zimechujwa sana(highly refined and processed oils)hivyo hazifai ktk maji ya visima.
watengeneza sabuni za mikono kutoka kigoma huwa wanamwaga sabuni nyingi ktk soko la DAr ,wanarudi a month later kuchukua pesa,hivyo jiandae kushindania nao.
Viwanda vikubwa sabuni zao zinapendwa mjini e.g Dar,Arusha na Mwanza ambako kuna maji ya bomba,hivyo tarajia soko la mikoani na vijijini,
ili uwafikie hawa wateja inabidi uunde distribution network ya whole sellers,pale manzese kuna maduka ya wapemba ya whole sale ukiwapelekea mzigo wanakulipa hapo hapo,wao huwa wanawauzia watu wanaopeleka bidhaa za maduka mikoani.e.g pruduct yangu nilikuwa siioni madukani in Daresalaam.nilipodadisi nikagundua ipo very popula in Kibaigwa dodoma.so nikisupply mzigo jamaa wanaotoka dodoma hawanunui kitu kingene zaidi hiyo sabuni.
------------------------
kama utafungua kiwanda mitaani na siyo ktk industrial zone e.g pugu road,epza :)
jinpange kupambana na TFDA,bora ya TBS
Afisa biashara
TRA
mwen
yekiti wa serikali za mtaa.

Packaging ya product yako ni muhimu sana,ndiyo maana wachina wanauza vitu vyao kwa wingi wao wanajua packaging and presentation nzuri za quality.
kwa sabuni ya mche ni kutengeneza mabox.nenda pugu road kiwanda kinaitwa Commercial printers wao wanabei nzuri na ni wazoefu kwa ajili ya SME s wenye viwanda vidogo.watakufanyia design ya box,inabidi uende na miche yako ili wawe na uhakika wa vipimo vya carton.

kwa ushauri zaidi wa michanganuo ya biashara na faida muone BABALAO atakushauri vizuri zaidi mpaka jinsi ya kupata mkopo. :)

Asante sana ndugu umetusaidia wengi .thankx in advance
 
Utengenezaji wa sabuni. Mimi naomba mnipatie ufahamu hasa wa malidhafi zitumikazo kutengeneza sabuni za miche na unga, ili niweze kuanzisha utengenezaji wa sabuni (Homemade soap )
 
Kweli mmetupa elimu ya kutosha kwenye huu utengenezaji wa sabuni,labda kutaka kufahamu zaidi naomba mnielimishe kuhusu malighafi zinazotumika na kiasi gani nitumie ili niweze kutengeneza sabuni ya mche na unga kwa matumizi ya nyumbani.utengenezaji wa ngu ni mdogo sana (Home made soap)
 
Kuna hawa jamaa wa Tanzania Business Creation Company wanatoa semina kwa wajasiriamali wanaotaka kumiliki viwanda vidogo vidogo. Mafunzo wanayotoa ni pamoja na utengenezaji wa:
sabuni za kufulia na kuogea
sabuni za maji
shampoo za kila aina
dawa za viatu
bleaching agent
petrolleam jelly etc.

waweza wasiliana nao kwa simu 0715851665 / 0784851665 / 0765871665
Pia wanayo mitambo ambayo wanatengeneza wenyewe na kuiuza kwa ajili ya kutengenezea sabuni za miche. Wako Sinza Mori

THANK YOU wakuu ngoja nilifanyie kazi
 
Habari,

Mimi ni mtengenezaji wa sabuni za gwanji.nahitaji ujuzi zaidi jinsi ya kutengeneza sabuni original na wapi nitaweza kupata raw material zake sabuni hizi ni mfano: kuku, na nyinginezo tofauti na zile zinazo tumika sana katika sehem ambazo hazina maji ya bomba.
 
Mimi nimefurahi sana analysis iliyotolewa humu ndani, nkipata ka milioni 15lazima niinvest huku.
 
Kuna hawa 'Mjasiriamali Kwanza' Entreprise waone, utaweza kuanza biashara ya sabuni hata kwa mtaji wa 100,000/- .
 
Wadau!
Mtu yoyote mwenye uelewa juu ya utengenezaji wa Batiki, dawa za chooni(Sabuni) na mishumaa please naomba anisaidi hatua zake ziko vipi??
Nawasilisha!!

=============================================
hii ni batiki ya mishumaa,
njoo pm tuanze kufungua kiwanda.

.......................

KUTENGENEZA BATIKI

MAHITAJI:
1.Vibanio vyenye urembo mbalimbali.
2.Sponji zenye urembo mbalimbali.
3.Brash kubwa/ndogo.
4.Meza kubwa yenye urefu wa mita moja mpaka mbili.
5.Sufuria.
6.Vitambaa vya mpira.
7.Misumari midogo.
8.Jiko.

MADAWA:
1.Sodium hydrosulphate.
2.Caustic soda
3.Mshumaa.


KAZI ZAKE:
1. Sodium hydrosulphate ni kuimarisha rangi isichuje,kama itachanganywa na caustic soda.Madawa haya huwa kazi yake ni moja lakini ikikosekana moja nyingine haifanyi kazi.

2. Kazi ya mshumaa ni kuweka urembo kwenye nguo au kwenye vitambaa kwa kutumia vibao au sponji zenye urembo wa tembo,twiga,matunda au aina yoyote ya urembo unayotaka mtengenezaji.

JINSI YA KUTENGENEZA.

(a) JINSI YA KUGONGA MISHUMAA:
Chemsha mshumaa uchemke sawasawa kisha ipua upoe kidogo. Andaa kitambaa cha pamba (cotton) na kukitandika mezani, chovya kibao chenye picha kwenye mshumaa kisha gonga kwenye kitambaa na kuacha nafasi kidogo. Endelea kugonga picha hizo mpaka kitambaa kiishe.

(b) JINSI YA KUWEKA RANGI:
Chemsha maji ya moto yachemke sawa sawa kisha pima lita tano mpaka sita. Baada ya hapo pima caustic soda vijiko3 na sodium hydrosulphate vijiko vinne mpaka vitano. Changanya na maji ya moto,weka rangi kijiko kimoja.

Baada ya hapo pima maji lita kumi na tano na changanya na mchanganyiko wa madawa ili maji yawe vuguvugu. Tumbukiza vitambaa vya vinne vya mita tatu kwa wakati mmoja na kuvigeuzageuza viingie rangi kwa dakika kumi mpaka kumi na tano. Suuza kwa maji baridi na uanike kwenye kivuri ili mshumaa usiyeyuke.

(c) KUWEKA RANGI YA PILI:
Katika kuweka rangi hii kinachofanyika ni kuongeza vipimo vya ranagi tu. Ongeza vipimo vya rangi viwili na zaidi ya mala ya kwanza,maji,mudani uleule,

Weka mshumaa sehemu ambayo haina mshumaa kwa kutumia urembo uleule. Pima rangi kwa kufuata hatua zilezile. Tumbukiza vitambaa vitatu,geuza kwa mda uleule kisha anika.

(d) JINSI YA KUTOA MSHUMAA:
Chemsha maji yachemke vizuri,changanya na sabuni ya unga jikoni,tumbukiza kitambaa kimoja kimoja jikoni ili kutoa mshumaa,geuza kwa mti,suuza kwenye maji ya baridi yaliyochanganywa na maji.

PIGA PASI TAYARI KWA KUUZA.



BATIKI ZA MASHATI na TSHIRT

Kwa kufuata sheria ya kuu ya tie dye ambayo inakutaka kukunja malinda kwa mtindo wa nje ndani au mbele nyuma, hata kwa nguo yoyote iwe tshirt au shati utatakiwa kukunja kwa mtindo huo kutegemeana na ubunifu wa ua unalolitaka. Kisha utafunga kwa kamba na kuchovya kwenye rangi iliyoandaliwa kama hapo juu.

MIKUNJO MBALIMBALI YA TSHIRT
DUARA
Ambapo unakunja katikati kisha unaweka alama namna hii.

View attachment 239443
kutengeneza malinda kama inavyoonekana katika picha hii hapo chini.

View attachment 239444
Kisha funga sehemu husika ambapo patapata rangi. Angalia picha hii.

View attachment 239445

Kwa picha na maelezo zaidi, tembelea CHANZO:
ISHI MAISHA YAKO
 
Hii ingefaa kama itapelekwa kwenye jukwaa la ujasiriamali. Mods, msaada tafadhali.
Mkuu xkamzy ukijibiwa tutafaidika wengi.
Asante kwa kuuliza kwa niaba ya wengine. Barikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Hizo kozi zinztangazwa kila siku kwa ada ya sh. 10,000 tu. Ziko sponsoured na mashirika mbalimbali. Sikiliza WAPO FM utawasikia hao jamaa.
 
Hello, kajiandikishe pale country side Motell,
pale Kibaha mail moja, Dr Didasi Lunyungu anafundisha
kuanzia tar 10/10-13/10/2012.
Kujiandikisha elfu 10 tu,anafundisha vitu vingi,nenda utafaidika sana.
 
Hiyo na mimi ninahitaji sana kujifunza hasa sabuni ila mimi ninaishi mwanza kama kuna yeyote anayeweza kunisaidia asisite.
 
Back
Top Bottom