..inshaaalah!!!.... amina!!
lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment na leo hii watu wanakufa huko.......kama ni wrong doing za nyuma na pia si hizo ni zake???...
siku hizi kila anayepiga vita ufisadi hataki kuambiwa makosa yake ??..huwezi kuwa malaika ghafla kwa kupiga vita ufisadi......au huwezi kupiga vita ufisadi kwa kuchagua wa kumpinga na wengine ...kuwaacha ..thats a dare mistake inafanywa sasa ....kuna mafisadi wanaanikwa na wengine ..wanaachwa...nadhani inapasa wote ikwemo hawa ...waliokuwa wakila pesa za watu ili wafunge viwanda vywa wenzao!
Why mkuu?
Just read between the lines you will see.....
True Rwabugiri This Philly boy , is not being objective! What he argues in his thread is besides what is advocated by Mpendazoe.He has a one up.Nina wasi wasi pia kilicho kusukuma wewe kuandika yote haya!
Tatizo kubwa la wezi wakiguswa hujibu hoja kwa kusema, "Hata anayetupigia kelele za mwizi na yeye mwizi", walianza kwa Mwakyembe, ambaye sasa kanyamaza na wao wamemuacha. Ni mbinu ya kunyamazishana. Mpendazoe hakuwa issue, lakini sasa kwa kuwa kaanza kusema, ameanza kuianikwa. Why PM kama ulijua anasababisha watu kufa katika migodi ukanyamaza? Na wewe PM ni muuaji maana ulinyamazia hadi atajwe MKapa ndio umseme Mpendazoe. Nadhani hii mada ni kutaka kuzima hoja. Mimi napinga na nitapinga mpaka mwisho hii tabia ya kujibu mapigo. Bahati nzuri Slaa alipambana lakini alianza kuandamwa kwamba na yeye ni mwizi, Zitto naye aliandamwa sana wakati wa Buzwagi na wengine wengi. Tuseme mambo wakati mwafaka si mpaka mtu alipue jambo ndio tumuandame.
Nilishwahi kusema hapa, hata ikitokea mwizi ama mtuhumiwa mkuu wa kesi yoyote akitoa siri ya wezi, tuache kukamata wezi kwa sababu eti aliyetoa siri ni mwizi!??? Hapana. Mbinu za kipelelezi zinatuambia kwamba mtoa taarifa za uhalifu hata akiwa mhalifu, fanyia kazi taarifa kwanza na mara nyingi taarifa za mhalifu, awe ametubu ama bado ni mhalifu, huwa na ukweli mwingi zaidi. JF isitumike kukatisha watu tamaa. JF akiwamo PM wamekuwa wakisema sana kuhusu Mkapa, sasa Mpendazoe kakosea?
True Rwabugiri This Philly boy , is not being objective! What he argues in his thread is besides what is advocated by Mpendazoe.He has a one up.
Trying to water him down?
lakini mkuu mi sijafurahishwa na approach yako, hapa we dare to talk openly, sasa unakuja na mafumbofumbooooo ukitaka twende librally kusakanya data!
Huyo Tina ndo kabisaa anadai muunganiko wa Zitto hapa kwa msukumo wa RA nyinyi mnaujua? if your dare just dare wakuu..
usitufanye tubaki na maswali lukuki hadi tufikirie kwamba pengine nawewe ni chuki zako ama kuna msukumo pembeni unao kufanya uandike haya!
Lete data mkuu, Hili la Barriki kutokaguliwa mazingira kabla ya kuanzishwa mbona liko wazi mkuu, kwani hata ile Buzwagi saga, ilisainiwa Londoni kabla hata ya hicho kibali cha ukaguzi, na ilisemwa bungeni japo wakaipindisha kwa kugonga meza CCM CCM! na kila mtu alijua aliye kuwa nyuma ya 'voda fasta hiyo' yes, mwenye hisa mkuu aliyetukuka.
Kama alifanya ufisadi huko NEMC uweke wazi siyo kuunga unga mara nemc mara houseboy, mara chuki binafsi , mara msukumo wa RA, very confusing!
....huyu ndie federick mpendazoe..akiwa mkurugenzi wa NEMC alitumika kama kikaragosi cha kuyachapa fimbo makampuni yaliyokuwa na ugomvi na mwenyekiti wake....
...akiwa pale NEMC ilikuwa kama vile uchafuzi wa mazingira nchi hii unafanyika karibu textiles peke yake...ukilala karibu, ukiamka karibu... na tv zinaporomosha!!
...akiwa NEMC kwa kuwa busy na makampuni adui hasi akasahau kupitia vema environmental impact assessment kwenye makampuni mengine kama Barrick na mengineyo hadi yakafunguliwa bila kuwa na mabwawa ya kuchuja adhari za zebaki kwenye maji kabla ya kuyaingiza kwenye mito......unaweza kufikiri ni jambo dogo ....lakini watu wamekufa na kupata ulemavu huko mara na kwenye migodi mingine ... kwa kuwa Frederick Mpendazoe alilala usingizi na NEMC yake ....
..viwanda vingi mijini kwa vijijiini vinatiririsha maji machafu havichukuliwi hatua .....tu waliochukuliwa hatua ni karibu kwa kuwa ni adui wa mwenyekiti wake.....
...hata yeye na mwenyekiti wake walipoondolewa NEMC kwa kuonekana wazi kuwa biased kwenye maamuzi yao .....hajaacha kuwa houseboy wake hadi leo...na kuendelea kuwakilisha mawazo ya bosi wake bungeni badala ya utashi wake binafsi na zaidi wa wapiga kura wake!!!!
...tupinge ufisadi kwa dhati ..lakini kamwe tusisukumwe na chuki binafsi!!!
PM inaonekana hana data za kutosha ila ana chuki na mpendazoe au ana maslahi na RA. Wakati Mpendazoe na Mengi wako NEMC na walipo kuwa wanapambana na uchafuzi wa mazingira uliokua unafanywa na Karibu textile pale mbagala mtoni, hizo zilikuwa ni juhudi kabisa za maksudi ili kuokoa maisha ya waTZ wanaoishi pale na kumbuka wananchi walifikia hatua ya kwenda kulalamika jiji.
Hoja ya kwamba NEMC iliwaandama KTM na kuacha migodi bila kuifanyia EIA, hili ni tatizo ambalo siyo migodi tu bali hata maeneo mengine mengi nchini hayaja fanyiwa EIA. uangalie pia uwezo wa kifedha wa NEMC na majukumu iliyonayo.
Ila kwa upande mwingine najua PM amehamaki kwa sababu mpendazoe amemgusa fisadi mkapa. Kumlaumu Mpendazoe eti kwa kuwa kamsema fisadi mkapa unamuonea, na kama ni issue ya madhambi ya mpendazoe basi tutajie ufisadi aliofanya mpendazoe na siyo hatua alizochukua zilizokuwa na tija kwa taifa na hasa kuokoa maisha ya wakazi wa mtoni mbagala.
Nitaendelea...........
...tupinge ufisadi kwa dhati ..lakini kamwe tusisukumwe na chuki binafsi!!!
....huyu ndie federick mpendazoe..akiwa mkurugenzi wa NEMC alitumika kama kikaragosi cha kuyachapa fimbo makampuni yaliyokuwa na ugomvi na mwenyekiti wake....
...akiwa pale NEMC ilikuwa kama vile uchafuzi wa mazingira nchi hii unafanyika karibu textiles peke yake...ukilala karibu, ukiamka karibu... na tv zinaporomosha!!
...akiwa NEMC kwa kuwa busy na makampuni adui hasi akasahau kupitia vema environmental impact assessment kwenye makampuni mengine kama Barrick na mengineyo hadi yakafunguliwa bila kuwa na mabwawa ya kuchuja adhari za zebaki kwenye maji kabla ya kuyaingiza kwenye mito......unaweza kufikiri ni jambo dogo ....lakini watu wamekufa na kupata ulemavu huko mara na kwenye migodi mingine ... kwa kuwa Frederick Mpendazoe alilala usingizi na NEMC yake ....
..viwanda vingi mijini kwa vijijiini vinatiririsha maji machafu havichukuliwi hatua .....tu waliochukuliwa hatua ni karibu kwa kuwa ni adui wa mwenyekiti wake.....
...hata yeye na mwenyekiti wake walipoondolewa NEMC kwa kuonekana wazi kuwa biased kwenye maamuzi yao .....hajaacha kuwa houseboy wake hadi leo...na kuendelea kuwakilisha mawazo ya bosi wake bungeni badala ya utashi wake binafsi na zaidi wa wapiga kura wake!!!!
...tupinge ufisadi kwa dhati ..lakini kamwe tusisukumwe na chuki binafsi!!!
..inshaaalah!!!.... amina!!
lakini mjuwe huyu jamaa anao upupu mwingi tu aliacha pale nemc...alipojeuza nemc [akiwa mkurugenzi]...na mwenzake akiwa ..mwenyekiti wa bodi kuwa chombo cha kuwapiga fimbo adui za mwenyekiti na kusahau kuwa tanzania ni kubwa ..na kipindi hicho migodi inaaaza ..alitakiwa ajibu hawakufanya environmental imopact assessment
Acheni UNAFIKI, Mh Zitto alipounga mkono wazo la kuiuzia Tanesco mitambo ya Dowans mbona mlimsakama?
Haijalishi kuwa anaesemwa ni Fisadi au mpinga fisadi, wengine wanapinga mafisadi huku wao wenyewe ni Mafisadi.
Hata akiharibu Dr Slaa hapa tutamsema tu .
Huyu bwana inajulikana wazi juhudi zake za kuandama viwanda vya wahindi alipokuwa NEMC.
Na hili la kutofanya Environmental impact assessment hawezi kusamehewa hata kidogo. Hili limegharimu maisha ya wa Tanzania.
FP

Kuna tofauti gani kati ya mwizi wa hela za EPA anaeiba na wananchi kufariki mahospitalini na huyu bwana anayeacha kufanya kazi zake kwa chuki binafsi na sasa wananchi kule Nyamongo wanafariki na mifugo kufariki?!
Woote ni sawa tu.
Kudos Phil Michael