Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 519
- 1,463
Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological entrapment of a nation where fear has become institutionalised.
Hali tuliyonayo sasa ni manifestation ya psychological trauma ya kitaifa – watu wanaogopa hata kuongea, wanaishi kwa tahadhari isiyo na kipimo, na akili zao zimejengwa kwenye msingi wa learned helplessness – ile hali ya mtu kuamini kuwa hawezi kufanya chochote hata kama ana uwezo, kwa sababu kila jaribio la haki huambatana na mateso.
Tunateswa siyo kwa mijeledi tu, bali kwa kuvunjwa kwa fikra zetu. Sauti huru inapotekwa, roho za taifa zinatekwa pamoja nayo. Tunaponyamaza, tunahalalisha ukatili. Tunapotazama watu wakipotea na kusema “sio ndugu yangu,” basi tujiandae kwa siku ambapo itakuwa kweli ni ndugu yetu – halafu tutaishi na mshituko wa maisha yote kwa sababu system yenyewe imeundwa kuwa predatory kwa kila asiyeamini uongo wa chama tawala.
Tunaishi kwenye authoritarian psychodynamic system – mfumo unaotumia hofu, ukimya, propaganda, na mateso ya kisirisiri kuhalalisha utawala wa kimabavu. Hili ni taifa linaloshindwa kusikiliza kilio cha wenye uchungu kwa sababu kilishaambukizwa ugonjwa wa kitaasisi wa kutosikia tena sauti za maumivu. Hii ni clinical silence – kimya chenye sumu ya uhalifu ndani yake.
Wale mnaoshabikia CCM na mnashangilia haya, fahamuni kuwa mnashangilia kaburi lenu wenyewe likichimbwa taratibu. Leo ni sisi tunaosema, kesho ni watoto wenu, keshokutwa ni ninyi wenyewe mtakapokosa pa kukimbilia. Wale mnaopiga kelele kwamba “wanapinga maendeleo,” jaribuni kutenganisha maendeleo ya miundombinu na maendeleo ya utu. Hakuna maendeleo ya kweli pasipo ethical governance and psychological safety.
Tunaitwa wapinzani, wasiotaka amani, wachochezi, lakini ukweli ni kwamba sisi ndio tunapiga kelele kabla taifa halijazikwa rasmi kwenye kaburi la kimya kinachoua roho ya kizazi kizima. Tunapaza sauti kwa sababu bado tuna huruma na taifa letu – unlike wenu mnaotumia uoga kama sera ya utawala.
Tunakemea haya maovu kwa hasira, kwa uchungu, na kwa akili timamu. Hatukubali kupumbazwa na “peace narrative” ya kimamlaka inayotaka tusiseme wakati mateso ni mfumo rasmi wa utawala.
We must deconstruct the architecture of fear and reclaim the dignity of a people silenced for too long.