Utekaji kule Iringa mchana kweupe

Utekaji kule Iringa mchana kweupe

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,333
Reaction score
6,454
Imeoneshwa kule x video inayozubguka mitandaoni majitu kama sita hivi yakimzingira nakumbeba jujuu mtu mmoja na kumuingiza kwenye gari rangi nyeupe na kutokomea naye huko yanakowapeleka wengine.

Mshangao ;
1. Tukio lometokea mchana kweupe
2. Kulikuwepo watu waliokuwa wanatazama na kurecord tukio zima bila hata kuhoji watekaji.
Niseme tu wabongo sisi ni makondoo
 
Hao waliokuwa wanarikodi ndio wabongo sasa 🙌
 
Imeoneshwa kule x video inayozubguka mitandaoni majitu kama sita hivi yakimzingira nakumbeba jujuu mtu mmoja na kumuingiza kwenye gari rangi nyeupe na kutokomea naye huko yanakowapeleka wengine.
Duh,
Hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom