Utazunguka bucha nyama ni ileile

Utazunguka bucha nyama ni ileile

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
6,279
Reaction score
5,989
Akina mama na akina dada wanamsemo huo hapo juu wakimaanisha kuwa wanaume mtatembea(sex) na wanawake wengi lakini ladha ni ileile hakuna tofauti kati ya uke wa x na y.Lakini katika nyama kuna figon maini, kongolo, ulimi, mkia(mkubwa na mdogo) filet, kidali, salala, nkm Na vyote hivi vina ladha tofauti. Je ni kweli wanawake pamoja na tofauti ya maumbile wanafanana kati SEX?
 
Aafu pia kuna usafi, ukarimu wa muuzaji. Hivi vyote vinakufanya ule nyama kwa starehe.
 
Mhhm kwa kweli sijui kama kila K ina test tofouti au iko kama zingine, mana huwa naziheshimu sana K sijazichezea kama wanavyo zichezea wengine na ni bora niendelee kuziheshimu mana ukiziheshimu na wewe utaheshimiwa :biggrin1:
 
nyama ileile lakini mapishi tofauti kuna mtura, supu, ya kuchoma, ya kukaanga, mshkaki, foil, nk nk
 
Kila nyama inatest yake bwana tusidanganyane.Ngombe aliyelima ni tofauti na ngombe ambaye hajalima.Kwa hiyo akina mama wasituzingue
 
kwa hiyo tufunge mjadala kuwa kila K ina ladha yake kulingana na maumbile, ufundi wa ziada ujuzi wa dume, na manjonjo mengine! Asanteni kwa michango yenu
 
Mhhm kwa kweli sijui kama kila K ina test tofouti au iko kama zingine, mana huwa naziheshimu sana K sijazichezea kama wanavyo zichezea wengine na ni bora niendelee kuziheshimu mana ukiziheshimu na wewe utaheshimiwa :biggrin1:
fazaa kweli huu ni mwaka mpya
 
Last edited by a moderator:
Akina mama na akina dada wanamsemo huo hapo juu wakimaanisha kuwa wanaume mtatembea(sex) na wanawake wengi lakini ladha ni ileile hakuna tofauti kati ya uke wa x na y.Lakini katika nyama kuna figon maini, kongolo, ulimi, mkia(mkubwa na mdogo) filet, kidali, salala, nkm Na vyote hivi vina ladha tofauti. Je ni kweli wanawake pamoja na tofauti ya maumbile wanafanana kati SEX?
Si nyama tu bali hata mchele uwe uleule lakini MAPISHI hutofautiana.
 
Back
Top Bottom