Mleta mada me kwa mtazamo wangu hii ndoa haina suluhu kwa kweli
Wakiuwana kwa sababu ya ndoa yao kuvurugika ndo mnakuwaga wa kwanza kulia ka vile mna uchumgu, mkiambiwa toeni namna ya kusuruhisha ili wasiharibikiwe majibu yenu ndo hayo... UNAFIKI MTUPU
cc:
chelsea fc
The Boss
muuza ubuyu
masai dada
tuwaache jmn hapo ni Mwenyezi Mungu tu ndio atakayetoa hatma ya ndoa hiyo sie wanadamu tutatokwa povu bure tu hapa...kwani tulishawahi hata kujua kuwa yatatokea hayo yaliyotokea? tumuachie Mwenyezi Mungu ni kazi yake sio yetu sisi kazi yetu ni kumuomba aingilie kati kwa kulisimamia tu.....
Kwani kuachana si suluhu..???Mleta mada me kwa mtazamo wangu hii ndoa haina suluhu kwa kweli
QUOTE=Chizi Fureshi;9670728]When i wented to school for fighting dengue me was good. In class number one no missing but now very kilometers from dar. Bring fastjet that i come that way and kill mosquito of dengue quickly!
Anatekeleza tu kauli.mbiu ya chama kizuri kula.na nduguyo sema.ana wivu balaa mkuu
Namtambua charminglady kama my number one girl...hao wengine walishanitoka
Habari za Paloma muulize sosoliso
nitawaambia wasikilize ule wimbo wao wa ndoa
Omba tukusikie sasa
Hapa ndio nayakumbuka maneno ya AMBWENE mwimbaji wa nyimbo za injili. "NDOA NI KAMA JUA, ASUBUHI HUWA TAMU SANA MAKUNDI KWA MAKUNDI HULIFUATA ILI KUPATA VITAMINI D, IFIKAPO MCHANA JUA aka NDOA HUWA KALI SANA WATU WENGI HUSHINDWA KUVUMILIA. ILA JIONI IKIFIKA JUA HUPUNGUA NA KUPENDWA TENA"
Hapo niseme hizo ni changamoto tu za ndoa kinachohitajika ni uvumilivu. Hapo ndipo pia namkumbuka babu yao kipenzi cha flora, askofu kulola angekuwepo angeumia sana.
Hakuna aliyebakwa... Binti ni kicheche na alikua anajua anachofanyaKama mahakama ikijiridhisha alibaka kweli,sheria ifate mkondo wake tu! Nakerwa wanaopenda kumaliza masuala ya ubakaji kifamilia!!!
Kuhusu hiyo ndoa yao,watajua wenyewe,wakiamua kusameheana au kila mmoja ashike njia. Kila mmoja asikilize moyo wake!!!!
Ndoa si lelemama!
Wamekwambia wanataka kusuluhishwa?
Mkuu hiki sio kitamu bali ni kinono....kinono hakijawekwa kwenye terms of references.