Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Mtaji wa CCM kisiasa ni elimu duni kwa sababu ni rahisi kuwatawala watu ambao ni mbumbumbu. Nchi gani itakubali mtu wa mzaha mzaha kama JK kuwa Raisi wao kama siyo kushuka kwa elimu.
Hivi sasa baraza la Mitihani limeteremsha alama za kufaulu ili ionekane idadi ya wanaofaulu imeongezeka. Miaka yetu ya sabini na themanini alama ya A ilikuwa kwa wale waliopata kati ya maksi themanini na kuendelea lakini sasa hivi alama ya C ya enzi zetu yaani kati ya maksi sitini hadi sabini ndiyo A. Hilo taifa laelekea wapi?
Shule za kata huongezewa maksi kwa kile kinachoitwa "posho ya mazingira magumu" katika kukejeli elimu itolewayo huko. Lengo ni kuonyesha shule hizo zinafanya vizuri wakati hazina waalimu wala vifaa vya kufundishia. Jk na CCM yake wamekuwa wataalamu wa kupika takwimu kama zile za REDET na zile za Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Mgombea binafsi na matokeo yake taifa linaongezeka umbumbumbu.
Chagua Chadema Chagua maendeleo ya kweli siyo ya CCM ya makaratasi tuuuuuuuu......................
Kuichagua CCM kunahitaji ziwe akili zimefyatuka kidogo. Mtu wa kawaida hawezi hata kuitaja jina lake kutokana na udhalimu inayotufanyia kila siku. Sasa hivi kubaki madarakani kutategemea sana kuyabaka na uchakachuaji wa matokeo wakishindwa basi mwisho wao CCM utakuwa umefika.