Elections 2010 Utawala mpya wa Dr. Slaa kupandisha alama za kufaulu mashuleni kama enzi za Nyerere

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,467
911,172
Mtaji wa CCM kisiasa ni elimu duni kwa sababu ni rahisi kuwatawala watu ambao ni mbumbumbu. Nchi gani itakubali mtu wa mzaha mzaha kama JK kuwa Raisi wao kama siyo kushuka kwa elimu.

Hivi sasa baraza la Mitihani limeteremsha alama za kufaulu ili ionekane idadi ya wanaofaulu imeongezeka. Miaka yetu ya sabini na themanini alama ya A ilikuwa kwa wale waliopata kati ya maksi themanini na kuendelea lakini sasa hivi alama ya C ya enzi zetu yaani kati ya maksi sitini hadi sabini ndiyo A. Hilo taifa laelekea wapi?

Shule za kata huongezewa maksi kwa kile kinachoitwa "posho ya mazingira magumu" katika kukejeli elimu itolewayo huko. Lengo ni kuonyesha shule hizo zinafanya vizuri wakati hazina waalimu wala vifaa vya kufundishia. Jk na CCM yake wamekuwa wataalamu wa kupika takwimu kama zile za REDET na zile za Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Mgombea binafsi na matokeo yake taifa linaongezeka umbumbumbu.

Chagua Chadema Chagua maendeleo ya kweli siyo ya CCM ya makaratasi tuuuuuuuu......................

Kuichagua CCM kunahitaji ziwe akili zimefyatuka kidogo. Mtu wa kawaida hawezi hata kuitaja jina lake kutokana na udhalimu inayotufanyia kila siku. Sasa hivi kubaki madarakani kutategemea sana kuyabaka na uchakachuaji wa matokeo wakishindwa basi mwisho wao CCM utakuwa umefika.
 
Tena aweke pass mark 75 ..mitoto yansikunhizinkucha haisoma in a kazi ya kuangalia mamushka badala ya kusoma...
 
KInachotia moyo ni kuwa CHADEMA wanampango wa ku-overhaul the whole system ili kutengeneza efficient and effective education system. CCM wanajulikana kwa kupenda uwingi pasi ubora.

Chagua Slaa ukitaka kuwa sehemu ya mabadiliko.

Finally ni 31/10/2010
 
..hata wakati wa Mwalimu kiwango cha elimu kilikuwa si cha kuridhisha.

..hivi mmesahau jinsi mpango wa UPE ulivyopachikwa jina "ualimu pasipo elimu."?

..nitafurahi sana kusikia Dr.Slaa akitoa mchanganuo wa jinsi gani Chadema itaongeza viwango vya ubora wa elimu.

..hili suala linahitaji umakini wa hali ya juu sana.
 
Ohh My God...
Naanza kuona kwa mbali dunia yenye matumaini kwa wanangu!
Where are you election day...why that slow?...move up pal, speed up, iam anxious!
 
..hata wakati wa Mwalimu kiwango cha elimu kilikuwa si cha kuridhisha.

..hivi mmesahau jinsi mpango wa UPE ulivyopachikwa jina "ualimu pasipo elimu."?

..nitafurahi sana kusikia Dr.Slaa akitoa mchanganuo wa jinsi gani Chadema itaongeza viwango vya ubora wa elimu.

..hili suala linahitaji umakini wa hali ya juu sana.

Yaelekea wewe hukushuhudia ila ulisimuliwa/hukusimuliwa Tanzania ilikuwa ikiongoza africa kwa idadi ya watu wanaojua kusoma na kuandika(by 80%).Pia kumbuka kuwa enzi ya mwalimu mtu mzima mwenye umri wa miaka 45-50 aliweza kufundishwa kusoma na kuandika na akaelewa, leo hii mtoto wa miaka saba anasoma hadi std seven na bado anatoka hajua hata kuandika jina lake what a shame.
Nyerere yuko juu.Pamoja na kikwete kukataa jumba la makumbusho ya mwalimu kujengwa ili haya ninayokuambia yawekwe nanyi mjifunze lakini mwl.yuko juu afrika
 
Lu-ma-ga said:

Lu-ma-ga,

..unajuaje kama nilikuwepo, au nilisimuliwa?

..kwa kifupi ni kwamba hizo statistics ulizotoa were good enough then, but wont take us anywhere in this era of Science and Technology.

..we need to set our educational goals way higher than what was achieved during Nyerere's era.
 
JK alipoingia madarakani alisema hakuna haja ya wanaofeli mitihani kurudia madarasa. waendelee hivyo hivyo, matokeo yake watoto siku hizi wanaingia form 1 wakiwa hawajui kusoma wala kuandika!!! very good for CCM; very bad for those who LOVE TANZANIA
 
Dr. Slaa & Co........mnazungumziaje kuhusu suala la serikali ya umoja..........kwa maoni yangu nafikir ni vyema mkawa na wawazi kuwa mtawatumia kikamilifu wale wazalendo na wachapakazi......e.g Dr. Magufuli, Prof Lipumba, Mwakyembe.............

Fanyeni hili jambo BOLDLY litaongeza sana imani ya wananchi juu ya uongozi wako.............
 
Kwa mwenye uchungu na nchi yetu sidhani kama kuna njia nyingine zaidi ya kutumia watu walioonyesha Uadilifu. Mbali na mawaziri ama watu maarufu wapo makatibu wakuu, mabalozi na sehemu nyingi sana wenye sifa kubwa za uongozi ambao wana fit na system nzima ya Dr.Slaa hasa akisha kata wizara kufikia 20 ina maana atakuwa na Wazalendo wengi zaidi kuliko wizara zenyewe.
 
Back
Top Bottom