Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Ebo!
Penzi la mkopo ndo lipi hilo?
Mi naogopa sana demu kila ukimpa kazawadi,,, eti ah acha tu mpenzi, ukimpa hela akajinunu chochote hataki eti hakuna shida. Ngoja siku anataka kuchukua,,, Oh honey unajau yule shangazi wa mama mkubwa kule Kigoma anaumwa sana anatakiwa kupelekwa mhimbili kwa matibabu na ma mkubwa hayuko mi ndo niko na wananitegema mimi tu. Hata hivyo nilienda benki nikakuta kuna foleni sana na nataka niondoke sasa hivi nimeuliza precission wamenambia tiketi zipo na ntachukulia pale pale airport.
Mwanaume umeunganishiwa hata majibu hujatoa,,,,
Anaendelea,,,, nimewaambia kuwa wamtayarishe mi nikifika tu nageuza na ndege ya jioni hivyo nitamleta kwa ndege! Du
Ukifikiria mkopo ulopewa wa MAPENZI unajikuta unauliza kinyonge kwani shs ngapi dear?
Kwa haraka haraka tu kama m1unusu itatosha,,,,, We hapo ndo utajua ka ulikuwa DECI ama Upatu,,,, Kaazi kwelikweli
Eeka,
Kwani ungekua umetoa na zikapokelewa, akikujia na gia hiyo utakwepa vipi na huku unataka ujitutumue kuwa wewe ni mwanaume?
Mbona hata wanaume wako hivyohivyo? kuna wanaume nao hawaishi kulialia shida kwa mtindo huo.Mara oh unajua cheki yangu haijatoka na ninahitaji kwenda kulipia deposit ya.....mara unajua cheki haijawa cleared, unaweza kunikopesha kiasi cha..... then nitakurudishia.Ukimpa tu kosa! Hairudi.Bora hata huyu mwanamke anakuomba na hajasema atarudisha.

Na ndio hapo Msindima mambo yanapokuwa mambo. Hivi kwa nini baadhi ya wanaume wakiwa wanajiintroduce huanza na kazi wanazofanya? je ni kwamba wanakaribisha tabia hii au huwa wanaamini kuwa wanawake wote huwa wako after wanaume wenye nazo au wenye kazi nzuri?
sidhani kama anayoyafanya au kuyapata huyo pedeshee ni mapenzi, hao wadada wapo kazini, inwezekana hapo kila mmoja anawaza jamaa atamaliza saa ngapi amkatie posho yake aende kastarehe na ampendaye!! mie huwa sikubaliani kuwa kama mwanamke anakupenda usipompa pesa atakuacha, tumeona visa vya wanawake wanakataa watu wenye pesa na kukubali kuishi na mtu asiye na kitu,
Nadhani uchumi mdogo maisha duni inawapelekea wanawake hata wanaume kuangalia pesa zaidi ya penzi la kweli na hii ni chanzo kikubwa na kukosekana kwa upendo na amani katika ndoa!! tena kwa sasa wanaume wako zaidi kuangalia mwanamke mwenye kipato ....
Kama mkopo ushakula ni lazima uulipe na hasa kama unataka mkopo tena shurti ulipe deni mazee, la sivyo no mkopo. Kwa uchungu mzee unazama hazina unachota fungu unampatia, huyooooooooooo Kigoma kwao. Na kwa taarifa tu wala hakuna cha shangazi mgonjwa wala nini,,,,Fidel anapelekewa ile kampuni ya simu ya long time tanzania kabla ya hata tritel.Eeka Mangi umeniacha hoi huo mfano wa huyo mchumba wa kwenda kumchukua shangazi yake duh mzee aibu sasa mrembo ndo kaumbika na umempenda kweli utafanyaje mkuu?Utazama mfukoni kweli au utume tu mkwanja shangazi atibiwe kule kule duh mzee bonge la mtihani.
Kweli kabisa bi kizee kwanza wanaume wengi wa wenye pesa kwa kweli hawafai kuishi nao kama wenzi huwa wana matatizo sana:
1. Watataka kila mwanamke amhonge (si anazo bwana)
2. Hutamwambia kitu yeye ni kila kitu anauwezo
Kwa hao niliopata kuwafahamu kimaisha ya ndoa na familia they are miserable.
Uko sawa kabisa,si tu kuhonga,kuna dada namfahamu kaolewa na mtu mwenye pesa,jamani yule jamaa ana tabia za ajabu sijawahi ona,ukivunja glass,unajua bei yake,kimbembe ndugu wa mwanamke wakija,masimango ya ajabu ajabu,ilifika mahali dada wa watu akachoka, manyanyaso yakamshinda akaamua kurudi kwao.
Jamani wanaume wenye pesa sio!
kwi kwi kwi mwishoni hapa katoa sana vyeusi sio tena red car duh!!
Hata red car hutaki? teh teh