Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

 
Very true..nakumbuka zari alianza mahusiano yake na diamond akiwa na na followers 35k baada ya six month akawa na followers 1m ..lengo lake likatumia
 
Kutokana na maisha yalivyobadilika zaman sisi wadada tulikua tunaambiwa na wazee wetu kama ukitaka kutafuta mwanaume wakukuowa usiangalie ana mali kiasi gani au ni mtu maarufu kiasi gani ila kikubwa angalia upendo wake juu yako. Ila siku hizi ni tofauti wale wanaume wenye upendo wakweli mwenye kukuheshimu na kukujali kama anavyomjali mama ake mzazi hayupo kwanza mwanaume mwaminifu kwa kizazi hichi hayupo na kama yupo ni asilimia ndogo sana kwa hiyo girls unaetafuta mwenzi wa maisha tafuta mwenye uwezo na anaeweza kukutunza ni afadhali umwage chozi kwenye bmw kuliko kumwaga chozi kwa mwendesha mkokoteni ni wazo tu kwan naona haya mapenzi akuna mkamilifu wote ni wale wale tu.
 
Hahahaaaaa mtatutoa roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…