Utatoka na nani wa JF?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… alafu ujue atafaidi sana, si umesikia watu wabaya tunakufa mapema, atakuja abaki na urithi wake kiroho safi na mie namrisisha kila kitu
Si ndio maana nilikwambia fanya namna tuwe marafiki mimi na yeye🀣🀣🀣

Nitamtafutia kijana wa kumtuliza ukishatangulia.
 
Si ndio maana nilikwambia fanya namna tuwe marafiki mimi na yeye🀣🀣🀣

Nitamtafutia kijana wa kumtuliza ukishatangulia.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… asiwe kijana wa hovyo, japo sitokuwepo ila apate kijana muadilifu ambae atamtuliza moyo kwa kuondokewa na mumewe ila asitoke tu humu JF maana humu watu ni visanga πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… asiwe kijana wa hovyo, japo sitokuwepo ila apate kijana muadilifu ambae atamtuliza moyo kwa kuondokewa na mumewe ila asitoke tu humu JF maana humu watu ni visanga πŸ˜„πŸ˜„
🀣🀣🀣🀣🀣
Kumbe mnajijua eeeh!!

Mafurushi kama mafurushi.
 
Nakukata kauli mkuu, Cillah ni mtoto mbichi kabisa, ana kila kitu changu wallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…