Utatoka na nani wa JF?


Tusiokua na watu tujuaneee[emoji2362]
 
🤣🤣🤣 pamoja na yote mkuu, nisalimie Makiwendo popote mtakapokutana sikukuu hizi, kama ataenda migombani huko mwambie tu namsalimia🤣
Bahati mbaya sana majira ya sikukuu sina ratiba kukutana na mwana jf yoyote mkuu.
Tukijaaliwa na Mungu labda mwakani.
Lakini Makiwendo ni mwanangu sana hili siwezi kukana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pamoja na yote mkuu, nisalimie Makiwendo popote mtakapokutana sikukuu hizi, kama ataenda migombani huko mwambie tu namsalimia[emoji1787]
Ha ha ha....

Nikaribishe hata Milimani huko basi...nije nitembee kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…