Utata wa Tomato

Ketchup USA, Peptang Kenya, Dabaga (Iringa) Redgold (wahindi hawa ) Dar.

Wanaoafford ketchup ni wachache kwa vipato vyetu Tz, kama madai yako ni ya kweli basi dabaga na redgold waulizwe.
Kuhusu tomato ya redgold huniambii kitu naipenda sana.
Nikiona banda la chips hawatumii redgold huwa naghairi kununua
 
Kuhusu tomato ya redgold huniambii kitu naipenda sana.
Nikiona banda la chips hawatumii redgold huwa naghairi kununua
Haha ndio, Mi toka niko form one ๐Ÿคฃ

Kwa sisi wahenga kuna kipindi ilipotea, sijui kiwanda kilifilisika, tunaoipenda tulipata shida aiseee, dabaga ilikuwa mbaya kama imeekewa unga wadona, kumbuka wengi wetu kuafford ketchup meyooo, kwahiyo option ni dabagaโ€ฆ. ulikuwa tayari mkubwa? Au ulikuwa bado unaruka ruka rede.
 
Ilipotea mwaka gani? Hiyo ketchup ina unyama? Nataka niijaribu
 
Ilipotea mwaka gani? Hiyo ketchup ina unyama? Nataka niijaribu
Sina hakika lakini nadhani ni 2010-2011

Ketchup ya (American garden) ni nzuri, ila siipendi sana ina kiharufu cha nyanya mbichi. (to me) wengi wanaipenda hasa watu fulani fulani . (mi siipendi hadi kuna familia fulani waliniambia mshamba nimezoea matomato ya mitaani)

Muda wote nataja ketchup nilikusudia ya American garden, yale yale ya kuita pedi zote always au sabuni za unga zote omo ๐Ÿคฃ

I recommend Heinz, naiona tamu, haiko nzito sana wala lighter sana, haina kiharufu.
 
2010 bado nilikua siijui Redgold
Nitaijaribu
 
Badili hiyo id yako walau isomeke Muwasho2030
Vinginevyo...hakuna cha maana kitakachochangiwa na watu wenye akili timamu humu kutokana na hilo jina.
Jina hakihusiani na mada mezani..jitahidi kutumia kichwa badala ya makalio kufikiri
 
hio ni dalili ya minyoo mkuu mpe mtoto mabendazole
pia tomato sauce nyingi za wauza chips ni zile za madumu ya lita tano hygiene yake inatia shaka uwezekano wa kubeba minyoo ni mkubwa mno
 
Hii id tu mkuu
 
Hata Dar Kuna kiwanda cha tomato sauce,
Mashoga wajaalaana watapata kisingizio kingine baada ya kile cha kuwa na homon za kike,

Kwamba wanawawashwa kwa sababau ya tomato sauce,
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwamba huo muwasho hausikiki mdomoni kwenye ulimi, unakwenda kusikika kwenye Anus?

Chakula mpaka kifike Anus, kinakuwa kimeshavunjwa vunjwa na kubaki makapi.

Sasa hiyo tomato, inawezaje kukwepa asidi kali za tumboni, ikawashe kwenye Anus?
Jadili unavyoweza..take it or leave it
 
hio ni dalili ya minyoo mkuu mpe mtoto mabendazole
pia tomato sauce nyingi za wauza chips ni zile za madumu ya lita tano hygiene yake inatia shaka uwezekano wa kubeba minyoo ni mkubwa mno
Sawa mkuu..dawa nilimpa..na bado akaendelea kupata muwasho..hivyo baada ya kumuachisha hizo tomato ndio akawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ